Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ni hivi wanawake wengi hudhani kwamba majukumu Yaliyompeleka kwa mume ni kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wanasahau kabisa kuwa lile tendo ndo kiunganishi kikubwa..! Unakuta mwanamke...
7 Reactions
88 Replies
7K Views
Nina miaka 30 nakaa Dar, elimu yangu diploma ya business administration, mm ni mweupe wastani, mrefu wastani na mwembamba wastani, sina motto na wala sijawahi kuoa. Nafanya kazi japo sio nzuri...
1 Reactions
2 Replies
861 Views
Natafuta mke wa kuoa Nina miaka 25 awe na kazi coz mimi mwenyewe Nina kazi awe mkristo niko serious Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kumuoa mkristo Na awe ana umri kuanzia 24-31 kama upo tiyar njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 27, nina degree, nimeajiriwa natafuta mchumba miaka 18-22 awe mweupe, umbo la wastani, dini mkristo, elimu yoyote ile aliyonayo. Aliye tayari anitafute inbox. Kwa wengine...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Hello, ninahtaji mchumba wa kike awe anaejielewa n.a. mstaarabu mcha Mungu umri 20-24 km upo nichek Pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Warembo wepi humu JF wako karibu na Isebania? Ningependa kupatana na mmoja wenu ili tuburudike pamoja :)
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Mimi naitaji wife material nipo serious kbsa vigezo na mashart kuzingatiwa umri wangu ni miaka 30 ni muajiriwa kwenye private sector.so mwanamke ninae mtaka lazma awe na umri kuanzia miaka 29 mpk...
0 Reactions
7 Replies
821 Views
God is great kwakweli. As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me. He gave me a gently and wonderful man ever met before. We are in the early stage of malovee but...
12 Reactions
332 Replies
21K Views
Mimi ni msichana umri wangu ni miaka 28,nahitaji mwanaume ambae mungu akijaalia awe mume wangu wa ndoa. Ni baada ya kukaa mda mrefu bila ya mahusiano... Awe tayari kuwa nami kwa shida na raha...
16 Reactions
281 Replies
27K Views
Hello, I'm not sure if we are getting some visitors out of our Zone, I mean Out of East Africa there, I'm Mad confidential to Tell you that am an intermediate English learner i do lots of Things...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari zenu wadau, Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya...
6 Reactions
103 Replies
10K Views
Habari za majukumu wana JF, Natafuta mwanamke aje kuwa mke kama tutaridhiana. Sifa; Elimu form4 au zaidi au ajue kusoma na kuandika Maji ya kunde au mweupe kiasi Mkristo Umri 20-25 Awe hujawahi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari, Nilipitia maumivu makali sasa nimepona na nimeamua kurudi kwenye game, Nina 30 years old Nina degree Sijaariwa ila nimejiajiri(sipendi kuajiriwa) Nina kipato cha kutosha watu wawili...
2 Reactions
68 Replies
4K Views
Mimi nina 27yrs. Mchaga. Nina diploma. Mimi siangalii sana muonekano wa nje awe na 30+yrs. Mkristo. Muajiriwa/aliyejiajiri. Naomba yule aliyeserious aniPM tufahamiane zaidi.
18 Reactions
133 Replies
28K Views
Natumain mpo wazima ndugu na jamaa kama kichwa cha hii topic kinavyojieleza hapo juu Mm ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike kwajiri ya kubadilishana mawazo Kwa yeyeto ataevutiwa na hili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Namnukuu alipoulizwa na baba, mbona uoi umri unaenda? akajibu bado natafta mwanamke mweny sifa zifuatazo; 1. Umri usizidi 27 2. Awe anasoma (last yaear) au amesoma na kuajiriwa kada za afya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu habarini za jioni, Mimi ni mwanaume umri wangu miaka 32, ninahitaji mwanamke mwenye umri kuanzia miaka 24 mpaka 31. Kabila lolote isipokua Mzaramo, Mkwere na Mbulu. Kwa alietayari karibu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa mweupe mkristo Mrefu. Nahitaji mke awe mwenye elimu yeyote ile asiwe pimbi portable mwenye uhitaji kama wangu ani PM au ani tumie SMS 0713984163 Sent using...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Back
Top Bottom