Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
✌ADVERT CLOSED✌ Thanks to all who showed cooperation
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Amani ya bwana iwe nanyi wanabodi, Nakuja kwenu kuwajulisha kuwa muda wangu wa kuoa umefika na nahitaji mke mwema. Inshallah mke mwema hutoka kwa Mungu. Umri wangu : 28 Elimu: Bachelor degree...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta mwanaume, Mungu akipenda tuwe mume na mke. Sifa; -Ajiamini, -Umri 28-35, -Elimu kuanzia degree ya kwanza ila kama anajiamini hata form six inatosha. -Awe amejiajiri au ameajiliwa...
2 Reactions
56 Replies
7K Views
Salaam wandugu nmechoka kuwa lonely na nnaona huu ni muda muafaka wa mm kuwa na familia so natafuta mwanaume alie serious na alie na uhitaji kama wangu -Nna 28yrs -Black in colour -Ni mkristo...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 nina stashahada ya uuguzi alie serious anaweza kunipm.
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Naitwa Josephine kabila langu ni Mhaya, nimemaliza chuo nimejiajiri natafuta mwanaume awe na umri kati ya 30 kuendelea mi nina 25. Jamani nipo serious sihitaji mzaha. Sent using Jamii Forums...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Heshima yenu wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, NATAFUTA RAFIKI WA KIKE lengo aje kuwa mke baadae, awe na sifa hizi. ■understanding ■knowledgable ■umri 23-27years ■Mkristo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vigezo Asiwe Na mtoto, elimu kuazia ngaziiii ya CHETI , umri 20-26. Dini mkristo 0719021445 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
896 Views
Saleh Ramadhani umri wangu miaka 26 naishi Dar Gongo la Mboto nina mtoto 1 natafuna mpenzi/mwanamke mwenye mtoto awe na umri 18-26, mimi ni mjasiriamali nimejiajiri kwa aliyetayari tuwasiliane kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ok
1 Reactions
51 Replies
4K Views
Natoa ushuhuda wa kutolewa knock out na binti mdogo kabsaaaa pamoja na kwamba nilimwomba japo nimzame chumvini tu ila tutafanya cku nyingine kwa matumaini ya kumlegeza lakini wapi, niliambulia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Wasifu wangu jinsia: Mwanaume, Umri miaka 32, Elimu: Diploma, Kipato: cha Chini, halali. Ajira: binafsi. Makazi: Njombe, ila safari Iringa, Moro, Dar mara kwa mara...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Natafuta rafiki wa kike wakushare nae idea pamoja na changamoto za kimasomo umri 18-21 Itapendeza pia mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu chuo fulani. Karibu Pm
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Yaan huu mtandao ni watu wa kupenda siri kama Freemasons vile, jina fake, picha fake hata nikiuliza makazi lazima nitapewa fake tu! mna siri gan nyinyi? *HAYA LEO NAOMBA KUWAJUA WA MKOA WA...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Somo lajieleza Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 31 Nishawahi kuoa na kupata mtoto mmoja kwenye ndoa,lakn ndoa yetu haikua riziki mwenza wangu aliipenda michepuko. Ni mwajiriwa pia...
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Habari za hapa, Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48, nina urefu wa futi 5 na inchi 7, rangi yangu maji ya kunde umbo slim body. Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa maisha yangu nina nia ya...
0 Reactions
0 Replies
990 Views
Habari za majukumu ndugu na jamaa zangu. Mimi mzima wa afya, jamani kwa wanaoishi Tabora wilaya ya Nzega au wilaya ya Igunga. Natafuta mpenzi; sifa, awe mrefu rangi sibagui awe na miaka kuanzia...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Iam Tanzaniam male with 30 years, am here looking for a soul mate, a girl with matured age na anayejua what is life, ata hasipokuwa na kazi ili mradi awe serious naimani tukiwa wawili maisha...
4 Reactions
64 Replies
4K Views
Habari tena wana jf, Narudi kwa Mara nyingine Mimi ni kijana wa miaka 27 nimeajiriwa serikalini mweups,mrefu, mkristo Naitaji mchumba awe mrefu portable sio mnene sana mcha Mungu ,mkristo Aliye...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Natafuta mchumba wa kuoa umri 18 mpaka 23 dini Islam au awe tayari kubadili elimu yeyote kazi yeyote, mimi kazi yangu mjasiriamali mdogo, nipo kijijini na awe tayari kuishi huku. Mawasiliano...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom