Hbr wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 30, mhitimu wa chuo kikuu na nimejiriwa ofisi moja hapa Dsm.
Natafuta binti wa kuoa...
Muhimu : awe msabato / ajiandae kubadili dini kua msabato.
Sifa za...
Im 27,ninahitaji mwanamke aliye tayari kuolewa,,awe tayari kunipenda,,sifa zangu,urefu mrefu wastani,maji ya kunde,kipato cha kawaida tu and nafanya kazi serikalini,,,,,natafuta mke aliye tayari...
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mwenye miaka 25 nimetoka kumaliza chuo kikuu kimojawapo hapa DSM, kwasasa nafanya shughuli zangu
binafsi ambazo zinaendana na fani niliyosomea chuoni...
Mimi ni mama ninaetafuta mwenza wa kuishi nae.
Mimi ni mfanyabiashara na mkulima. Nina elimu ya chuo. Ni mcha Mungu.
Natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati. Sichagui dini,kabila,elimu etc...
Husika na kichwa cha barua hapo juu,
Sifa za mke.
-Umri miaka 26-30
-Maji ya kunde au mweupe
-Elimu kuanzia diploma
-Ajue kupika
-Mwenye msambwanda atafikiliwa zaidi
Sifa zangu.
- Miaka 32
-...
Edward Niko dar umri 28, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae kwa atakaekuwa tyr anitafute kwa namba hii 0746802325.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji mrembo mweusi mwenye mvuto ili awe mpnz na baadae awe mke.dini awe muislam lkn kabila lolote. Atakaekua tayari anicheki watsaap--0752924807. NO JOKES AM SIRIOUS
Sent using Jamii Forums...
Habari zenu wapendwa wa MMU,
Leo nimeona nijitokeze kwenu tena ila leo ni kwa ajili ya kuwaelezea furaha yangu na kuwapa moyo wale ambao bado wanaendelea kutafuta wenza na bado hawajawapata...
Am a girl of 25 years of age searching for a single parent (i.e a man who has a child but not married) to be my husband. I am a christian by faith with a bachelor degree in education, not yet...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu awe na umri kuanzia miaka 22 mpaka 28 elimu kidato cha nne kuendelea dini mkristo aliye tayari...
Kama inavyojieleza ninahitaji muwekezaji makini awekeze pendo katika moyo wangu ili tupate faida pamoja, mimi ni me mfanyakazi niko Dar.
Age early 30s. Yeye mfanyakazi awe mtu makini ambae...
Wapendwa salamu nyingi sana. Poleni na majukumu na hongereni kwa ufanisi wa kutwa nzima ya leo.
Jamani mwenzenu safari yangu bado sijafanikiwa kupata mke japo hivyo pls kwa wadada ambao mpo...
Anahitajika mke mwenye elimu ya degree na kuendelea aliyetayari kuanzisha familia na awe mcha Mungu wa dini ya kiislam,umri miaka 23-25,umri wang ni miaka 32 ni mtumish wa uma kwa aliye serious...
Wadau habari ya Siku ya Leo.. Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, mimi ni Kijana kati ya miaka 27 na 30. Naishi mwanza mjini mjini. Wilaya ya ilemela.
Nahitaji mpenzi wa kike kwa ajiri ya...
Wadau nahitaji kuoa sasa.
Umri umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji kuanzisha familia.
Nina 28 yrs naomba mdada aliye tayari na serious ani Pm.
Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.