Naitwa Paulina nimejikubali hali yangu najipenda natafuta mume wa kuoa mwenye hali kama hii miaka27 mwaka32 awe anajipenda na kuikubali hali yake, awe tayari kuoa.
Tafadhali hii ni muhusika...
Nasikitishwa sana Na watu wanaokuja humu Na kushangaa.wanaosaka wachumba humu.
Leo napenda kuwatia moyo wote wanaokatishwa tamaa Na watu wachache.
Maneno yao Ni kama 'hivi umekosa...
Wandugu, nimejitokeza kumtafuta mchumba (mke) humu JF ili tuyaenzi maisha na kutekeleza maandiko ya mwenyezi Mungu. wasifu wangu ni;-
mweusi,
mrefu almost futi 6 na point kadhaa
Nimeelimika and...
Mimi ni kijana wa kiume. Nina umri wa miaka 21 Ninatafuta rafiki wa kike[16~19] ambaye tutakuwa tunashirikiana na kubadilishana mambo mbalimbali hasa masomo kwa ujumla.Tutakuwa tuna wasiliana...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye miaka 29 sijawahi kuwa na mchumba wala sijawahi fanya mapenzi natafuta binti awe mpenzi wangu baadae nioe awe na miaka 18-24 kabila lolote Dino yoyote...
Umri wangu ni miaka 25,elimu yangu ni diploma ya biashara,nahitaji mwanaume wa kuishi naye na mwenye mapenzi ya kweli,umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 40 mwisho,awe muelewa.
Asiwe...
Umri 22-25 elimu ya Sekondari na kuendelea umbile awe mrefu, mweupe na umbo la wastani mwenye 'wowowo'
Kabila Mchaga, Msukuma au Mmasai.
Niko Dar es saalam ni Mkristo, umri wangu miaka 35...
Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda...
Mimi ni mwanamke umri miaka 40.. Nina watoto..nahitaji kampani ya mwanaume alie single... Ambae aliachwa na mke au alifiwa, au aliacha mwanamke kwa sababu isiyoweza kuvumilika..awe...
Habari za jioni wandugu
Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha
Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s...
Habari wana Love connect,
Nina miaka 25, single mother wa mtoto mmoja, nahitaji mpenzi baadae awe mume kama tutakubaliana na kuelewana, ni muislam, shughuli zangu za ujasiliamali, naishi Dar...
Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls.
Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, sex sometime kama ikitokea kila mmoja kavutiwa na mwezie uwe umeoa or hujaoa vyote sawa just a friend uhuru wa kuwasiliana utazingatiwa Ila wawe na...
Mimi ni kijana mwenye mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc Forestry). Binti huyo awe na sifa zifuatazo; awe na miaka isiyozidi 25 na isipungue 22, Elimu yake awe...
Wasalaam Alekyum! , Shalom! na Amani Ya Bwana! Iwe Nanyi Nyote wana JF-Love Connect.
Kwanza kabisa katika uzi huu nataka kuandika kwa kiswahili fasaha kabisa ili kila kiumbe kitambaacho katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.