Habari wakuu..
Napenda kuweka wazi kwamba nahitaji mwanamke wa kuanza naye maisha siyo kupotezeana muda kwani kama ni muda nimeshapoteza sana.
Naomba awe na sifa zifuatazo:
Sibagui. Dini...
Habari zenu.....
Nahitaji marafiki wa kuchart,nina stress mno,nahisi kwa kufanya hivyo kutanipunguzia mawazo...
Mimi ni msichana nina 25 yrs...naishi Dar es salaam...
Jinsia yeyote sibagui....njoo...
Hi,
I'm up looking for a life partner who will be my future wife. I’m 27 years old guy from Dar es Salaam looking for someone who is between 20-25 years.
She must be christian, with college...
Am a man aged 32, single and a civil servant. Education: degree holder.Tribe: sukuma. Color: black but not typical black. Height: neither short nor tall.
Mwanamke anaehitajika: Mrefu wa wastani...
Habari za leo JF,
Naitwa Stella najitokeza mbele yenu leo kutafuta mchumba na baadae Mungu akipenda basi awe mume wangu wa maisha.
Kuhusu Mimi na Ninayemhitaji
Ninafanya kazi kwenye moja ya...
Looking for a girlfriend aged 20-25yrs,, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,, natafuta rafiki wa kike,, kwa aliye tayari anicheki kwa simu Namba 0744554155.. Dini Yeyote, elimu Yeyote..
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 mwajiriwa wa serikalini natafuta binti mwenye umri wa miaka 23 -26 kwa lengo la kuanzisha familia aliye serious.
Tuwasiliane pm tafadhali!
Good day, habari zenu wana Jamii Forums.
For a time now nimekuwa Single but Now its a perfect time kuwa na mtu ambaye tutatengeza Family. I'm very serious on this na kama kweli unatafuta mwenza...
Asalam aleykum wana jF
natafuta mchumba wa kumuoa sifa
(1) awe anajua ugumu wa maisha
(2)awe na elimu yoyote tu
(3)kabila awe mmakonde,mmwera,mzaramo,myao,mmakua,yatapewa kipaumbele au kifupi...
Nimekuwa single kwa muda sasa,mimi ni ME natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo, dini yoyote na umr wowote kikubwa ajitambue.. Naishi DSM, kwa ambay yuko tyr anakaribishwa PM.
Umri ndo huu umefika, sikutaka kukurupuka kuja hapa kuandika maana kuna kuna wengi wenye kutafuta waume niliona isiwe shida ya nami kuandika niliwafuata baadhi ya wale niloona wana vigezo...
Toka nijiunge humu galz wahumu siyo wakuoa wala kuolewa wamekaa kimajungu na kingono ngono muda wote wanawaza kugegedwa tu na wote wapo jukwaa hili la mapenzi siwaoni hata majukwaa ya muhimu wao...
Jamani wana jF natafta mchumba mwenye kujua nini maana ya mapenzi maana tangu nimeyajua mapenzi bado sijapataga mtu alie tulia kwni wote ninaowapata wengi huwa waongo sana leo atakuahidi hivi...
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda...
Nalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa,
Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.