Habarini ndugu zangu, kaka na dada zangu. Kiuhalisia leo naandika huku nikiwa nimejawa huzuni, majonzi na sononeko kubwa sana moyoni.
Nikitizama umri wangu kwa kweli umeenda na mpaka sasa...
Habari kwa wanajukwaa wa LOVE CONNECT,
Nina uhitaji mkubwa sana wa mchumba. Sio mchumba tu, aje kuwa wife so msaada wakuu.
Mimi ni kijana wa miaka 22, rangi ya Obama, ni mjasiriamali...
Habarini wana jamvi?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni mkulima pia ni mjasiliamali.
Nashukuru mungu hapa nilipo fika ninauwezo wa kuhudumia familia. Mimi ni mkristo nahitaji kuwa na...
Habari za sikukuu ndugu zangu wakuu
Hope Bila Shaka mko poa na ujenzi wa taifa.. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo mimi ni kijana wa miaka 29 ninatafuta mwenza ambaye baadae awe mke wangu...
Silvester Niko dar umri miaka 27, natafuta mpenzi au mchumba awe na miaka 18-27 atokee dar,
Awe na umbo namba 8 mrefu kidogo na mfupi kidogo mwelewa na mkweli. Namba yangu ya simu ni 0714002998.
Habari zenu wana ndugu, mimi ni mdada wa miaka 32 nina mtoto ninatafuta mume, elimu yangu ya chuo, mkristo. Nina tafuta mume wakunioa awe mcha mungu, na awe anajishughulisha/kitu chakumuingizia...
Hi,
As the heading above concern,
I am looking for a beautiful lady who is aged not above 28 years old,Christian,chocolate colour,businesswoman or employed,female figure and tall/moderate...
Hi I've just been divorced after almost three years of separation and now I'm searching for that special someone for building a relationship that may lead to getting married,
I will be 50 yrs old...
Naitwa Richard age 27yrs naishi Dar maeneo ya Tabata, natafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa kuja mke na mama wa familia awe mkazi wa Dar es Salaam.
-Dini yeyote
-Elimu yeyote
-Umri usizidi 26...
Nimepitia Uzi kadhaa humu kwenye jukwaa ila nadhani kuna kitu kinakosewa na wanaotangaza kutafuta wachumba au wenzi humu. Mtu anatoa vigezo vya anayemhitaji ila anasahau kuwa genuine characters ni...
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu.
-Mimi ni kijana wa kiume, mwajiriwa private sector, sijawahi oa wala kuwa na mtoto, umefika mda nimeamua niwe na mwenza atakayekuja...
Rafiki later wife anahitajika
Awe mkristo, umri 22-26!!
Elimu astashahada-stashahada.
Awe muajiriwa au amejisjir.
Asiwe mnene au Mwembamba saizi Ya Kati.. Rangi YA maji YA kunde.. Urefu...
Wasalaam!
Kutokana Na malalamiko mengi mengi ya mahusiano Nimegundua ya kwamba matatizo mengi yanatokana Na wanaume.
Kwanza kabisa Ni kutojali kwao pia Na kuwachukulia wanawake kama vyombo vya...
Oops! stop what you thinking! Am not singing P. Diddy's hit song 'I need a girl' , but am seriously in need with one. If you have checked out my previous posts you would have noticed that this is...
Habari zenu wote.. Ikiwa imetimia mwaka mmoja bila kuwa na mahusiano tangu niachane na mwanaume ambae nilimfumania na rafiki yangu na kupelekea kuachana nimeamua sasa kuingia rasmi kwenye...
Mm kijana 27 yrs, kwa Mahusiano ya KImapenzi & friend with Benefits (FWB) tu!
Uwe HIV neg...
Uwe na Good hygene...
Nipo SUMBAWANGA
walipo huku watapewa Kipaumbele Zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.