Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi...
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana...
Kama wewe unahisi kuwa unaweza kuwa mke mwema karibu PM kwa kufahamiana zaidi..naishi Dar.... Mengine utayajua ukija PM
Ukija PM acha namba nitakupigia..
Hello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa...
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya...
Awe na umri miaka 35+
mkoa awe anaishi Tanga mpaka akhera
awe na watoto sio chini ya wa5
Kuhonga sijui kusema kweli,
Awe na makalio yasio pungua Tani 6,
Awe na rangi Ya kijani
uzito wake wa mwili...
Hallow wana Love Connect.
Nahitaji love kutoka kwa binti anayejitambua na anayetambua thamani ya mapenzi. I'm 27 yz, niko dar kwa aliye serious anakaribishwa PM.
Mimi ni mwanaume, nina miaka 28 nina kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa Kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi.
Karibuni.
Halloo wanajukwaa, hope mko poa,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 29 na nina maisha ya kawaida nipo Arusha, natafuta mchumba atakaye kuwa mke, vigezo: awe anaishi Arusha, awe na umri kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.