Mimi ni mwanaume, nna miaka 28 nna kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi. Karibuni.
Nina umri wa Miaka 23
Nasoma Shahada ya Udaktari
Mwaka wa Pili
Niko Dar es salaam
Natafuta Rafiki wa Kike
Umri awe 18-21
Sibagui Dini
Awe anaishi Dar es Salaam
Awe mwanachuo wa chuo chochote
Awe...
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 31 natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo:
Umri 20+
Elimu: Kidato cha nne na kuendelea
Urefu: 173 cm na kuendelea
Dini: Mkristo
Mwenye sifa anitumie...
habari ya weeked!!!
katika kuadhimisha siku hiyo hebu tukumbuk kidogo huko nyuma tulipokuwa wadogo (watoto) kama wa kiafrika.
je ni jambo gani utawashukuru , pongeza, laumu au hata kuto kusahau...
Serious girl friend is needed
Location:dar es salaam, morogoro & dodoma
Age:21-40
Job:she must be working or business lady
Language:English & swahili.
Any one who is ready just pm!!!!
Kumekuwa na matukio mengi sana siku za karibuni na yakizid kuongezeka kadri siku znavyokwenda. Matukio haya yamekuwa yakitokana na kukosekana kwa uaminifu kwny ndoa. Lakini kitu cha kushangaza...
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati
sifa zangu
sina mtoto
sijawai olewa
nimewai kuwa na mahusiano
elimu kidato cha nne
sio mnene wala sio mwembamba
rangi ya...
AS TOPIC says...I NEED a man mentioned there if you are
there with no one just turn this way!I WANT a person whom we can settle down and start a family together.
The fist thing he must agree for...
Jamani kama thread inavyojieleza...I am looking for 'my beautiful Miss' that i will later make her 'my Wifey'! Jamani wadada changamkieni fursa hii, ni adimu sana kumpata kijana kama mimi...
Habari wana JF?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, elimu yangu ni chuo kikuu, nahitaji kuwa na msichana mwenye umri kuanzia 20-25 elimu yake kuanzia kidato cha sita, diploma hadi chuo kikuu...
habari zenu wapendwa!
naitwa Amiry Samiry ni kijana wa miaka 29 now
kabila langu Mbondei wa Tanga Muheza
Dini yangu Muislam.. ninafanya kazi Serengeti kiwanda cha bia Moshi mkoani Kilimanjaro...
As salaam alykum, amani ya mungu iwe nanyi, mimi nina miaka 32 elim yangu ni certificate ya ualim kwa sasa npo Dodoma chuo mwaka wapili nikisoma shahada ya ualim yaan najiendeleza kielim. Dini...
Wadau ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima
Nikiwa na huzuni kubwa naandika uzi huu kwa lengo la kumuomba msamaha rafiki yangu wa utotoni na wa muda mrefu John (Ni jina lake halisi) kwa yote...
Habari wakuu,
Baada ya salamu ni wape pole na majukumu yenu,mimi ni mwanaume nina miaka 40 Nina watoto wawili (mama tofauti) kwa sasa niko single na nnaishi Zanzibar (CHRISTIAN) Watoto wako mmoja...
Kwa kuwa Moja ya kazi za mitandao ni kutuunganisha watu wa aina tofauti tofauti basi nami nitumie Hii nafasi adhimu nilyonayo
Natafuta msichana Mzuri wa sura pamoja na tabia ili niweze kumfanya...
Mrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua...
Sifa:
-Awe mchaga anayeishi Dar es Salaam
-Umri miaka 30-40
-Dini Mkristo Mlutheri
-Awe anajishughulisha au muajiriwa.
-Awe mweupe asiwe mrefu sana size ya kati.
Sifa zangu:
Ninafanya kazi Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.