Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu,kiukweli nimekuwa addicted na wanawake weusi sio weusi ila weusi kama mkaa. Nikiona msichana wa hivyo uwa napagawa. elimu yangu nina diploma ya clinical medicine . -umri nina miaka 25...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Natanguliza shukrani kwa Mungu aliempa maarifa mwanzilishi wa hiki kitu kwani bila wao nisingekua hapa. Japokua sikuweka tangazo la kumtafuta mwenza lakini kwa neema,rehema na mipango ya Mwenyezi...
20 Reactions
130 Replies
9K Views
I'm a 28year old lady who runs a start-up. I'm looking to meet a Tanzanian gentleman aged 30-40 who is looking for a serious relationship. I love reading and traveling, and enjoy any outdoor...
1 Reactions
92 Replies
5K Views
Aslaaam aleikum Serious natafta mke muislaam ...umri Wangu ni miaka 36....awe na umri wowote Ila lazma aidha ajue dini au awe tayari kusoma dini Awe na hofu na mwenyez mungu...awe tayari na...
3 Reactions
13 Replies
825 Views
Mimi ni kijana wa mikaa 27, ni Afisa wa Serikali (Maliasili). Elimu yangu ni shahada (BSc. Forestry). Ila Binti awe na Elimu ya Kuanzia cheti (Certificate), stashahada (Diploma) au Shahada...
0 Reactions
5 Replies
889 Views
Habari wakuu, Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba. Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Dar. Dini yangu mkristo na nina mcha Mungu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Hello everyone Just thought i should try, i might get lucky. I am 27 yrs old n 2 weeks pregnant, unfortunately i have to choose between being a single mother and abortion (God forbid). But...
30 Reactions
124 Replies
12K Views
1. Kumuacha mpnz uliyempenda aende? 2. Kumsahau uliyempenda? 3. Kuanza upya bila yeye?
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Mimi ni kijana wa miaka 28 niko single, nimejiajiri. Nahitaji mwanamke aliye serious, mwenye kumuogopa mungu. Awe tayari kupima. Maelezo zaidi ni PM.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha husika mimi ni mwanamke naishi Njombe, natafuta rafiki ambaye tutashauriana issue mbalimbali kuhusu ili janga ikiwezekana baadae awe mume. Awe na sifa zifuatazo ...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa umri takribani miaka 30 sasa. Elimu yangu ni shahada ya kwanza(Engineering) toka Udsm na kwasasa ni muajiriwa kwa private company moja huko kanda ya ziwa. Natafuta mke mwema...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nnn
17 Reactions
122 Replies
15K Views
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25. Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo Mwenye upendo wa dhati Mwenye kunijali mm na familia...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina umri wa miaka 28 mwajiriwa, kwa kipindi nimekuwa natafuta mchumba na mke wa kumuoa bila mafanikio. Nimekuja rasmi kwa jukwaa hili kutangaza kwamba hili...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Jna naitwa Mohammed Ramsey Naish Dar es salaam Umri wangu miaka 26 Kabila langu Mzaramo Natafuta mchumba ili awe mke wangu Awe mwenye kujitambua na mwenye uelewa Umri awe kat ya 18_24 Alikuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mi nna umri wa miaka 30.ni graduate wa shahada ya kwanza na nmejiajiri kwenye project zangu. Natafuta mchuchu mwenye nia ya dhati tufanye maisha whatsapp me through +255758502366
0 Reactions
19 Replies
4K Views
@mods delete hii kitu tafadhali
17 Reactions
188 Replies
12K Views
Nataka kuoa watu wenye ethnic hizo mbili, sina sababu ila basi tu nataka kufanya vitu tofauti na wengine. Kama umo humu here is your chance don't let it pass you by
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Habari za week end wana JF? Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm. Am serious jamani Utani tuweke...
21 Reactions
151 Replies
14K Views
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 31 ni muajiliwa serikalini elimu yangu ni shahada Nahitaji mke mwenye nia ya dhati kujenga familia umli miaka 24 mpaka 33 Kwa alie serious napatikana kwa...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom