Habari za usiku wana jamvi
Rejea kichwa cha habari
Nmekuwa na uume mkubwa sana unakaribia nchi 10 ambayo na vigum kupata mwanamke wote wananiacha wakidai wanaumia wakati wa kujamiana kwhyo...
Mdogo wangu 22yrs amejiari yupo hapa dar es salaam anahitaji mume,kaniomba nimsaidie sifa ni zile tu za mwanamme ,please for the one who is serious pm me and I will let u contact her,asanten
Nahitaji mwenza ambaye atakuwa tayari kufunga ndoa soon.
Mwanamke ninayependa awe mke wangu awe na sifa zifuatazo.
Mwaminifu
Mkweli
Miaka 26-34
Mwenye shughuli ya kipato halali
Mkristo kama...
Hivi, hawa warembo ambao wanatafuta wachumba humu Jf mbona mimi nikiwatafuta hawarespond? Mimi ninahitaji kuwa na mwanamke, lakini hawa hawako serious!! Au wanafanya utani tu? Kwa mwanamke aliye...
Kuna kitu kinanikera sana, unakuta kijana kaja kwenye jukwaa hili kwa nia nzuri kabisa ya kutafuta mke, mchumba au rafiki wa kike lakin comments za matusi atakazopata toka kwa wanaume wenzie mpaka...
Natafuta Kaka mstaarabu mtulivu mwenye kujua utu na ubinaadamu wa kubadilishana nae Mawazo yaani kuchati na kushauriana kuhusu Maisha kwa ujumla.
Mengine kama mimi nani au namba ya Simu ni baada...
Looking for a handsome man aged 32_40..'He should be single and ready for something serious....Awe mrefu na sio mnene iiivo, ya awe na body zuri la mazoez....mwenye sifa hizo anitafute Dm...Iam 25...
Mwamkazeze,
Sijawahi kufanikiwa kupata mchumba humu tangu nianze kutafuta, Embu nioneeni huruma. Hata kama nna nyota ya bashite hii too much!
Kweli binadamu hawana huruma!
Tupendane jamani ht...
Wakuu
Uzi upo wazi kabisa na nipo serious kwelikweli kwani natafuta MWANAMKE ambae yupo serious na Mwenye kutaka mahusiano na hatimae kufikia hatua ya NDOA. Narudia tena nataka kuoa ...
Nimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajiliwa serikalini natafuta msichana kuishi nae mungu akijaalia awe mke Wangu umri kuanzia miaka 20 mpaka 26 awe na shughuli yoyote halali alive serious tuwasiliane...
Habari zenu,
Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume.
Sifa zake;
Muislam mwenye hofu ya Mungu
Miaka 28-35
Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau...
natafuta mwanaume ambaye mwenyezi mungu akijaalia aje kuwa mume na baba wa watoto wangu,mimi nina miaka 30,nina fanya kazi kwa mtu binafsi,nina kipato cha kawaida sana ila namshukuru mungu,nina...
Wanabodi salaam.Jaman natafuta msichana mrembo ,mwenye mvuto ili awe mke wangu.Mimi ni mrefu ,maji ya kunde na nafanya kazi serikalini.Kwa sasa nina umri wa miaka 35.Kwa ninayemtaka awe mrefu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa nimechoka kuwa mpweke msichana awe na umri wa miaka 23 mpaka 26.
Aliye interested tuwasiliane pm, please kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
MKE MWEMA NI HUYU.
Mcha Mungu, Mvumilivu, Mstahimilivu uliyeokoka na kumkiri Mungu kwa kumaanisha na siyo kumkiri kwa mdomo tu wakati moyoni hakuna Mungu, (Hiki ni kigezo muhimu zaidi)...
Habarini wadau,
Mimi ni kijana wa miaka 32, ila nina watoto watatu kwa mama wawili tofauti, mtoto wa kwanza nilizaa na mwanamke ambae alihitaji tu mtoto lakini ana maisha yake na wala haitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.