Mim nkijana wa miaka 25 mkristo, napenda music, kufanya mazoezi elimu yangu degree,...... natafuta mpenzi mwaminifu, mwenye mapenzi ya dhati, mkarimu anayejua nn maana ya mapenzi mungu akijalia...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba wa kuoa aliye na umri kuanzia miaka 23 mpaka 26.
Aliye interest tuwasiliane kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
Mimi nikijana wa miaka 25 nimuajiriwa natafuta mchumba ambaye ana kazi ili tuweze kusaidiana katika Maisha sichagui kabila wala dini awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 24 kama utakua upon tayari...
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje...
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Mm ni kijana (kiume) wa kitanzania niko morogoro. Natafuta marafiki wa kike/mchumba. Aliye tayari tutazungumza kupitia 0629160442. Nina miaka32,nahitaji marafiki/mchumba kuanzia 24-30 kwa wanawake tu.
Mimi ni kijana umri 30 nahitaji mwanamke umri 25-30 asie na mtoto kama ana mtoto basi mzazi, mwenza labda asiwe duniani maana akiwa hai atapoteza sifa ya kinyang'anyiro.
Karibuni elimu sio lazima
kimsingi nimemisi kitu cha msingi sana,mpaka nahisi akili zimevurugika.nilivyokuwa mikoani nimewahi kumiliki kademu kangu kalembo kalikuwa kananitunza ila kwa sasa kameshaolewa
Sasa...
Kama heading hapo juu inavyo sema mimi ni kijana ninae ishi mikoa ya kanda ya ziwa.
Nimuaiiliwa serikalini na elimu yangu ni shahada, dini ni mkristo, umbo langu si mnene wala si mwembamba na...
Habari zenu,
Maisha ni safari ndefu sana na inamilima na mabonde. Kwa upande wangu mimi ni mwamamke umri miaka 43 nina watoto. Katika maisha haya nimepitia mambo mengi sana na nimejifunza mengi...
Hi! I'm a lady of 28 years, I'm here to look for a husband.
I'm masters degree holder, TPA worker , polite and humble lady. I'm virgin.
I like children, reading, visiting sick people in...
Salut a tout le monde!!
Aged 35, tall, average weight, christian, graduate, employed etc.
Uwe:
max 30, graduate(preferred), tall (not less 170cm), average weight, no kid(s), stable income etc...
Habari wana jf,
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu, Mimi ni kijana wa kiume nafanya kazi ktk private sector.
Kipato changu na maisha yangu ni vya kawaida.
Kwa sasa naitaji Mchumba wa kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.