Silvester Niko Dar natafuta mchumba, umri wangu ni miaka 29, mchumba ninaemtafuta awe mkweli na mwelewa na awe na shepu, mimi ni mjasiliamali naitaji mchumba ili tusaidiane maisha sitanii ni kwl...
Hello my people how are you. I do believe that one can get a husband or wife anywhere as long as they have the same commonalities. That being the case I Binti Mimi is searching for my soul mate to...
Mke anahitajika popote alipo.
Nina umri wa miaka 28, nina mtoto mmoja, mama yake hajafa yupo hai ila ni dini tu ndo imetufanya tusiwe pamoja. Mimi ni mfanyabiashara, kuhusu elimu nina degree ya...
Nimekuwa nikipitia posts nyingi humu JF, hasa katika jukwaa la Love Connect, wanawake wengi wanaotafuta wanaume wa kuwaoa, kwa kweli nimegundua kuwa wengi wao hawako very serious na kile ambacho...
Habari wana familia..Niende kwenye JIPU MOJA KWA MOJA.
KUNA KATABIA Nimejaribu kukachunguza cha wanawake wengi pale wanapoalikwa "DATE" na wanaume huwa inapokuja muda wa CHAKULA wanawake...
Qualifications:
Tall
Handsome (smart man)
Asiwe mwebamba sana wala mnene sana
Age from 28 to 45
Asiwe na kitambi[emoji20]
Sihitaji ndoa (stress tupu)[emoji57]
Mtoto akizaliwa ana uhuru wa kuamua...
Awe na umri kati ya miaka 21-26,mkristo wa kanisa katoliki, elimu yoyote, awe tayari kuolewa, mwenye ajira hata asiyeajiriwa, kabila lolote ili mradi ana maadili mema, niko tayari kuoa, mi...
Wakuu habari za mihangaiko ya kutwa nzima.
Napenda kuwasilisha mada yangu hapa mezani lengo lango niko serious kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.....
Ni kijana mwenye umri wa miaka...
Mm ni mtu wa over 40 yrs natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi pia, sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu.
Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba...
Namsaka mwanamke ambaye anatumia mafuta ya kawaida kama rays,baby care au anayepaka parachichi usoni ama mafuta ya asili kama nazi.je mchina alivyojaa nitampata kweli mabinti wa kibongo,kazi...
Nahitaji rafiki wa kike, hii inaweza isilete maana nzuri kwamba pengine sipo serious, ila kuna wakati unajikuta hauna neno jingine la kusema zaidi ya hilo.
And this is very serious, tangu...
Mimi ni kijana wa miaka 27 ni Dr
Nimeajiriwa, mweupe ,sio mnene
Mrefu, mkristo
Naitaji mke asiwe awe angalau amefika form six asiwe mwembamba Sana mkristo, mwaminifuu unaweza uka ni DM au my...
Habari ya muda huu wakubwa..!!
Kama nilivyo anza juu hapo mimi natafuta rafiki wa kike yani/ girlfriend..!! Binafsi Umri wangu 24..!! Vigezo mwanamke awe na upendo wa kweli..!! Npo serious...
Naomba tupeane uzoefu wa jinsi hali inavyokuwa unavyojua na kujihakikishia kuwa mwenzio (mke/mume/mpenzi) kachepuka uchungu na uzito tunao lipa tatizo hili huwa ni sawa kwa wanaume na wanawake...
Wadau poleni na shughuli za ujenzi wa taifa.
Niende kwenye mada, nahitaji mume mwenye sifa zifuatazo.
Miaka kati ya 28 mpaka 38, mrefu, rangi yyte, dini yyte, kabila lolote, elimu yyote, kazi...
Mimi ni kijana wa miaka 29.
Mwajiriwa.
Nahitaji mwanamke wa kuoa.
Dini yeyote.
Awe na umri kuanzia 20-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha 4 kuendelea.
Asiye na kazi ya kumuongezea kipato atapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.