Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
wana jf hamjambo?... Napenda kuwatangazia kuwa namtafuta mchumba wa kike ambae mungu akitujalia tutafunga nae ndoa. Sifa zangu: •Rangi: Maji ya kunde •Jinsia: male • Umri ...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanaume unapomtongoza mwanamke 100% unakuwa unategemea nini kutoka kwake? Maana naonaga 100% wanaume wenzangu wanatongoza wanawake wanakuwa wamewatamani tuu wanahitaji ngono tuu, sasa naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hellow, Naitwa Benjamini Kaswagula, naishi Bagamoyo, umri wangu ni miaka 34, mkristu, natafuta rafiki wakike ambaye baadaye tutaoana mwaka 2019/3/25. Lengo kubwa kua na muda mwingi wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jamvi la JF!. Sina makuu...nahitaji mpz awe wa kike umri wowote..awe mwenye matatizo yz kipesa au kimaisha ntamsaidia mawazo hata pesa. Ila ku-do sitohitaji. Sina tamaa za mwili maaba...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Habarini ma friends, Natafuta. Msichana anaefaa kuwa mke wa mtu. Anayejitambua. Anaejieshimu. Umri 18-21 dini yoyote. Asiwe Mmbuli Mrangi wala Mnyaturu. Me umri wangu 25. Kama yupo anicheki...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
naitwa Aicca icca, mimi ni msichana wa miaka 24 soon 25,natafuta mwanaume badae awe mchumba na mme,nature ya kazi inanifanya niwe mbali kidogo na kuendana na ulimwengu unavoenda, mimi ni mkristo...
16 Reactions
94 Replies
7K Views
Kwa nini tunapenda? unaona kabisa mtu hakufai lakini unashindwa kumuachia.
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Ninastable ajira na shughuli zingine za kiuchumi. Nahitaji 1. Mdada mzuri sana 2. awe na miaka 22-28 3. awe na elimu nzuri---ikiwa ya chuo nzuri zaidi. 4. awe tayari kuwa kwenye uhusiano wa...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Nijitakie heri ya kuzaliwa.Mungu ni mwema nimepitia mengi ila nazidi kumshukuru kwa yote.
0 Reactions
4 Replies
907 Views
Nahitaji mpenzi badae aje kuwa mama watoto wangu kwanzia miaka 20_26 kwa alie siriaz anicheki kwa 0653133576
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa cha habar apo juu nikwamba daah am stil single this kills me nataka msichana jamani eeh dem yyte awe dar apa not above 35 mimi nina 25 yrs.....ur welcome ladies...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Kuna bibie humu JF.. nimejikuta tu.. nimempenda.. hii ni kutokana na michango yake.. anavyojiamini anapotoa hoja...ana msimamo... na husimamia anachokisema... naomba ushauri... naogopa kumtaja...
1 Reactions
120 Replies
9K Views
Naitwa Khamis naishi dar ni Doctor to be , Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa my wife bdae, Awe na age kuanzia 18-24 yrs ,awe mwembamba wa wastan na ni muslim bt hata kama ni din tofauti it's k...
0 Reactions
2 Replies
742 Views
natafuta mchumba(mwanamke) wa kuo na awe na vigezo vifutavyo 1. elimu si muhimu sana 2.kabila nalo c muhumu hata kidogo 3. umuri nao ni muhimu sana 19-26 4. Heshima ni kitu mihimu kuliko vyote 5...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Napenda ifahamike kwamba kwa uzi huu sitanii na wala sina nia ya kujifurahisha bali kueleza haja yangu kwa mwanamke wa maisha yangu ambaye naamini yupo humu. Natambua kuna mwanamke ambaye naye...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Last week niliandika kama nahitaji boyfriend I need a boyfriend and am so happy kumpata mtu ambae tunamatch. So application closed Love you my new baby
7 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani nimejikuta nampenda girl mmoja humu JF,kumweleza ndo ishu mana naogopa haya majina yanaweza yasiwe ya kike.
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Nimefanya utafiti huu (mwenyewe) karibu miaka sita sasa,...kulingana na takwimu nilizonazo zinajitosheleza kuwatuhumu Wasichana wasomi hasa wanaokaa mijini(midogo na mikubwa) kuwa hawataki...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Niliyekuwa namuwakilisha mwaka huo wa 2011 alishapata lengo lake... Thread closed...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nijuavyo mimi wachumba ni mwanamke na mwanaume ambao wamevuka hatua ya urafiki na kuingia hatua nyingine kwa maana kutambulishana na kutangaza nia ya kuoana.Wachumba siyo mke na mume au watu...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Back
Top Bottom