Mambo vp marafiki!
Hope mko salama.
Leo niko hapa kutafuta rafiki mmoja tu wa kike. Mtu ambaye atakuwa tayari kuongea na mimi, kushauriana, kupiga story.
Sijawa tayari kuingia kwenye mahusiano...
Wasalaam dronedrake
Natafuta mwanamke wa kuoa;
Awe na umri kuanzia 18- 28
Awe mrefu, 5+ feet tall
Awe amehitimu form six na kuendelea
Awe anapenda kufanya kazi
Awe Mwafrika, au mzungu...
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene...
Poleni na Shughuli za siku wana JF,
Nimekuja nikiwa na uhitaji wa kupata mwenza Mwanaume. Mwenye uhitaji na mahusiano aliechoka kua mpweke kama mimi.
Awe mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na...
Hi to everyone on this forum!
I am a gentleman, 38 years old, Christian - roman catholic, postgraduate, employee, 170cm, ready to settle down and establish a better family with a decent woman who...
Habari.
Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri.
Mwanamke ni mtakaye.
Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo...
Habarini Mabinti na wale wenye dada zao.
Nafasi ni moja tu, anatafutwa binti mzuri wa muonekano na tabia yaani Mtu mwenye Utu na Utulivu.
Umri: 18-23 (Asiye mshangazi bila Kitambi)
Elimu: Si...
Wanajamvi Heshima zenu
Je unahitaji kuunganishwa ili kupata mwenzi wako kama Mchumba na baadae Mume au Mke. Tafadhali tuma wasifu wako kupitia DM ukijielezea ** Umri, Umbo lako, Dini, Hobbies...
Habari ndugu zangu,
Kama kuna mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa namkaribisha mimi ni kijana ambaye:
1. Nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa mjini
2. Umri wangu 34
3. Rangi ni mweusi
4. Muislamu...
Habari ndugu zangu,
Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora.
Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya...
Habari ya uzima wenu wana JF?
Natumaini mu wazima.
Mimi ni mkazi wa Dar, ni muajiriwa na pia nina biashara zangu za kunipa senti mbili tatu. Umri wangu ni miaka 29 na ni mzaliwa wa mkoani...
Habari waJF? Muda umefika wa kuwa na ubavu wangu. Nahitaji kuoa hivi punde. Binti ambae yupo na vigezo hivi naomba tuwasiliane:
1. Mzuri
2. Umri kuanzia miaka 25-28
3. Dini yoyote
4. Ajue kusoma...
Moderator usifute neno mbagala kwenye Tittle.
Sina mambo mengi ninaweza penda mwanamke yeyote just awe anaonekanika tu (Uzuri Basic), Awe anaishi Mbagala hili isiwe shida kuonana na kuseti hatua...
Habari mimi ni kijana wa miaka 33 ni mfanyabiashara ndogo ndogo Natafuta mchumba
Awe chini ya miaka 28
Awe mkristo
Awe Arusha/Moshi
Awe na kazi/biashara yotote
AHSANTE
Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza
natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia;
Awe na umri kuanzia 22-28
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na kazi halali ya kufanya
Asiwe mweusi...
Kanitumia hivi
HAbari dada naitwaa f natafuta mke wakuoa awe umri kuanzia 22 mpaka 25 ., awe maji yakunde , mrefu wastani, asiwe mnene wala mwembamba sana .
Awe anaishi dar , awe anafanya kazi...