Ninahitaji mtu ambaye Mungu akijalia ataweza kuwa mume wangu..
Kuhusu Mimi;
nina umri wa miaka 25
naishi Dar
ni mjasiriamali
sina mtoto/watoto
Elimu ni certificate.
Anayehitajika ni mtu ambaye...
Habari wakuu.
Nahitaji mwanamke wa kuoa ambae yupo tayari kwa mahusiano na kuolewa.
Umri wake uwe kuanzia miaka 20 mpaka 30 akiwa na mtoto sawa hakuna shida.
Sifa zangu
Umri 30
Mimi ni Mmakonde wa Mtwara naishi Dar-es -salaam
Nina miaka 33
Dini: I am Christian
Elimu Diploma Administration
Sijaajiriwa.
Sina kipato bado najitafuta Marioo musijisumbue
SINA mtoto
Nahitaji...
Kichwa cha habari cha husika hapo juu.
1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah.
2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia.
3...
I need a woman with a good shape to marry from all Tribe except a Haya, Nyakyusa, Nyaturu, Jita, Kurya,Chaga,Ngoni and other related to those.
should be aged 25 to 30.
Able to understand shortly...
Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother
Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu
Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
Hii ndio furaha yangu kubwa sana,na kusuluhisha migogoro ya wanandoa ni furaha yangu kubwa sana.Siangalii dini za wanandoa wanaooana au naowasuluhisha.Kama una mgogoro wa ndoa au unatamaninkuoa au...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naomba mwanamke yoyoye aliye mafinga au Iringa mjini awe rafiki yangu kipenzi.
Kama upo maeneo hayo naomba uje inbox nipo serious, Mimi ni mwaminifu siyo...
Mimi ni mwanaume miaka 37 mwajiriwa serikalini, ninae mtoto mmoja wa kiume miaka 14 sasa, mkatoliki.
Naomba mwanamke mwenye uhitaji aje tuzungumze 0769499326
Habari zenu wana jukwaa anahitajika mwanamke ambaye yupo tayari kwa ndoa ambaye yupo serious anitumie ujumbe PM (DM) awe muislam umri 25+ awe tayari kwa ndoa.
Wasaalam.
Kutokana na pigo nililopigwa Leo! Nimebadilisha msimamo. Natafuta mwanamke angalu mwenye mtoto mmoja wasizidi wawili.
Hope huyu atakuwa ashapigwa matukio ya kutosha! Na Mimi pia...
Habari wana JF,
Nimejitokeza kuweka wazi hitaji langu.
Im in my mid 30's, with one kid. Never been in marriage before. Ewe Mkristo mwenye miaka 34 na kuendelea,Mkweli namwenye uhitaji kama.wangu...
Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu.
Endapo wewe ni mwanamke na una uhitaji wa mume basi nakufahamisha kuwa 'tatizo lako limepata suluhisho'. Mimi nina uhitaji wa mwanamke ambaye kwa kuanzia...
1.Wasichana wanapenda kuongea maneno machafu kama wavulana.
Wanawake huvutiwa moja kwa moja na wale wanaojaribu kuanza mazungumzo nao ana kwa ana,
2. Neno "I Love You" lina athari zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.