Vigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm
Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana
Mimi ni ME
Umri 30+
Naishi -Dar es Salaam
Kazi -Mjasiriamali
Mwenye utayari
Awe KE
umri : 30<
Elimu : kusoma na kuandika tu
Makazi : Dar es Salaam
Loading............
Hello members habari!
Mimi ni Mumama aged 38!
Independent, nimeajiriwa, pia niko na business nyingine,elimu shahada ya pili na niko na kids pia.
Nahitaji mubaba (mzee mwenzangu) wa kumaliza nae...
Natumai mko salama
Mwenzenu nilipigwa tukio ambalo liliniacha taabani kwa miezi kadhaa sasa
Wakati niko Chuo (SAUT) Mwanza, nilibahatika kupata mdada tuliekua nae chuo nikampenda na tukajikuta...
Mimi ni mwanaume umri miaka 33.
Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo .
Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu...
Anatafutwa mwanamke anayetaka kuolewa mwenye sifa zufuatazo,
Awe na miaka kuanzia 27 mwisho miaka 35. ASIWE NA MTOTO. ASIWE NA ANATUMIA DAWA YA KUFUBAZA.
Anaweza akawa nesi, mwalimu, banker...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40. Nipo iringa. Nina mtoto mmoja. Ninahitaji mke mwenye umri kuanzia 30 mpaka 35. Awe hana mtoto au single maza with one kid. It's fine. Njoo DM tuyajenge
Greetings,
A female in her 30's is searching for a man with the following,
-High libido(be very sure about this)
-Healthy heart.
-No hereditary diseases.
-Proper mental health.
-Must be willing to...
Hi…
Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding
:mbunifu wa kutafuta kipato
:Asizidi 34+
Dini yoyote
Kazi yangu na...
Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10...
Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani
Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa
Mkristo hasa mpetekoste
NB alietayari ku asili mtoto
Awe mkoa WA...
Mimi ni kijana wa miaka 32, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Karibu PM
Sifa za mwenza ninayemtaka
1. Awe na umri...
Habari Wana JF,
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe Muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2. Umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu...
Habarini ndugu zangu 🙏
Tafadhali rejea: MWANZO 24: 1 - 51.
MHUSIKA AWE NA SIFA KUU KATI YA HIZI ZIFUATAZO:
1. Mchaga, Msukuma, Mhehe au Mbena with a good heart like Rebecca - without pretending...
Habari za majukumu ndugu zangu wote!
Nategemea kuoa mwakani Mungu akijaalia, kutokana na expirence ya mahusiano ya sasa na maisha kwa ujumla Mimi binafsi nimetamani kutaka kuoa mwanamke ambaye ni...
Natafuta sugar mummy, nita-mdrive every where she wants na nita-do everything she need kwenye swala la LOVE niachie.
Mimi mimi ni mrefu kiasi, mnene kidigo, ninacheza basketball, naish Kigamboni...
Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo:
Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee.
Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani.
Asiwe na zaidi ya miaka 25...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.