Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 , Dini yangu , ni mkristo. naishi DAR kazi yangu ni muajiliwa elimu yangu ni DIPLOMA. Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo , *awe mkristo *Awe anaishi dar *awe...
1 Reactions
35 Replies
712 Views
NAMTAKA SINGO MAZA 1 Nimehangaika sana, kuyatafuta mapenzi Niliowapa amana, hata hawakuienzi Nikapigwa dana dana, na kufanyiwa ushenzi Namtaka singo maza, ndie nitayemuoa 2 Aloumizwa ja mimi...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mke
Wajameni 2025 imefika sasa! Ajitokeze mdada flani hivi tuoane kama ajali flani hivi bila mauchunguzi na intelijensia nyingi. Kuchunguza sana ni time consumption na muda unaochunguza pepo...
3 Reactions
8 Replies
230 Views
Wakuu nimechoka kuishi gheto , mchumba niliyekuwa nae alisema bado hajawa tayali kuolewa. Umri - miaka 36.. Kazi-Seremala Mwanamke awe na miaka 28 kushuka chini, na asiwe mpare na awe anaishi...
12 Reactions
82 Replies
1K Views
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha. Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na...
4 Reactions
6 Replies
706 Views
Habari, Mimi ni mkazi wa Dar es salaam Umri - 33.6 Kazi - Ajira/biashara Dini - Mkristo Elimu - Masters Rangi - mweusi na mrefu kiasi Mtoto - Sina mtoto Natafuta binti Umri - 24 hadi 29 Kazi -...
3 Reactions
9 Replies
646 Views
Nahitaji mwanamke wa kuishi nae, ambae tayari kashazaa. Awe na umri kati ya 23-27yrs. Mtoto awe mmoja tu. Kabila, awe katika lolote kati ya haya, Mnyamwezi -Tabora, Nandi from Kenya, Tutsi from...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Wanajamvini mimi ni mwanaume nemerudi baada ya miaka mingi na natafuta mchumba ambaye baadae atakua mke. Sifa ninazoziangalia. Awe mwislam. Asiwe mchaga. Mwembamba au mnene wastani. Urefu wa...
9 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari za humu JF Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:mpare wa ugweno Elim Digree Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)...
30 Reactions
107 Replies
4K Views
Habari Wana Jf, Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote. Awe -Mkristo na awe na hofu ya...
19 Reactions
126 Replies
18K Views
Rafiki yangu anahitaji mume. SIFA ZA ANAYEMHITAJI; Awe mkristo Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea. Asiwe mlevi. Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri Asiwe na zaidi ya watoto 2. Mwenye uelewa...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
JamiiForums habarizenu, Naitwa Hassan, natafuta mpenzi mwenye hekima, upendo, mwanamke na mcheshi.
8 Reactions
23 Replies
743 Views
Habari za mida wapendwa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 nipo Kigoma mjini natafuta Binti wa umri kati ya 22-25 ambaye badae tukikubalia nitamuoa
10 Reactions
34 Replies
960 Views
Wakuu Nmekuja kwenu kwa heshima kabisa, nmechoka upweke wa muda mrefu Natafuta mume sio mpenzi SIfa zangu 1. Mimi ni mrefu kiasi mweusi Sio mnene wala mwembamba Nafanya kazi na Nina kipato...
46 Reactions
301 Replies
7K Views
Habari rafiki, Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni...
13 Reactions
147 Replies
2K Views
Natafuta mchumba anayemcha Mungu. Umri kuanzia mika 30 na kuendelea. Awe aliyejiajiri au kuajiriwa. Awe hajawahi kuolewa na kuachika. Au mjane. Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. Awe...
1 Reactions
2 Replies
311 Views
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo...
12 Reactions
315 Replies
4K Views
Hili ni jambo lenye thawabu kwa Mungu,tujitahidi kuwasaidia wanaotaka kuoana kwa kila hali.Fanya hivi: 1.Tengeneza orodha ya wanawake na wanaume ambao hawajaoa au kuolewa 2.Kila unaposikia kuna...
2 Reactions
2 Replies
141 Views
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Umri 18-34 Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na...
7 Reactions
50 Replies
868 Views
Jamaani Nani ni kamanda wa kutoa love bite kwa wanawake? Kuna mtu anauliza love bite ni nini? Inapatikanaje? Unaitwa wewe mtaalamu
12 Reactions
132 Replies
3K Views
Back
Top Bottom