Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Msichana wa miaka kuanzia 21 kabila lolote elimu kuanzia sekondari awe tayari kupima afya
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo. 1: awe tayari...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
The unofficial formula is the "half your age plus seven" rule. So if you're 30, the rule goes, the youngest person you should date is 22 (since 30/2 = 15, and 15+7 = 22). When you're 44, the...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
umri wangu 26 nahitaji binti wa kuoa anaejua maisha ni nini,alie tayari tuwasiliane
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni mama (miaka 33) wa watoto wawili kwa baba mmoja, muajiriwa na ninafanya biashara, kielimu nina shahada, naishi na watoto wangu mwenyewe. Mwili wangu wa wastani kabisa, rangi light brown. Ni...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Mimi ni mwanaume mtu mzima,natafuta mwanamke mtu mzima mwenzangu awe mwenza wa maisha yangu,yule aliyeguswa tafadhali PM au tuwasiliane kwa email adres ifuatayo mbilimbi2@nokiamail.com
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mm nahc ni kupotea kwa uelekeo endapo unatafuta mtu wa kuoa au kuolewa kwenye mitandao; watu wanafikiri kuoa au kuolewa ni just kuwa na mtu, for me that is not enough we need to look even...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
mimi ni kijana wa miaka33, rangi ya maji ya kunde,mrefu wastani,nimejaa wastani,mcheshi na mwongeaji, ni mwajiliwa wa sirikali,pia ni mjasiriamali. Napenda mapenzi huru, kwa hiyo naingia katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf.natafuta mume.nina miaka 31 nina Elimu ya Diploma ya Procurement and supply nimeajiriwa serikalin, nina mtoto wa kiume wa miaka 6,mm ni mnene wa wastan,rangi ni maji ya...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Jamn nakaribisha na kutafuta marafiki wa jinsia zote ,, karibu!!!!
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mkristu pia naishi na kufanya kazi mkoa wa Mwanza, elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa. Kuhusu kabila ni mhangaza. Nachukua fursa hii kutoa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE Cc.. lara 1:confused3: Wadau heshima kwenu, Nimeona ni muda muafaka kuja rasmi kutafuta mwanamke wa maisha yangu hapa duniani. Nafahamu mke mwema hutoka kwa Mungu lakini...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
I need a God fearing christian man aged 30-40 years. He should be trustworthy, educated at least a degree holder, tall (160-185 cm), good looking(not too much),non smoker and if he drinks he must...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jamani niko sirious natafuta mke aje anitunze pamoja na kuitunza familia ye2 ambayo itapatikana mungu akipenda awe na sifa zifuatazo. 1.awe mwenye elimu japo ya msingi 2.awe mcha mungu. 3.acwe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nawasalimu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu hapa. Jamani nimechoka saana and am bored,usingizi sipati nataka mkaka mtu mzima asiye na mke anitoe out hapa jiji la foleni within one hour from now, kila mtu atajigaramia pesa za...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadada wakibongo mlio singo kama unahitaji kudate na Mr Kutoka USA, Hebu ni pm. Tupunguze ili tatizo la kugombea wanaume hapa bongo. lol
0 Reactions
27 Replies
3K Views
nina umri wa miaka 28 holder wa post graduate ya accounts,nafamya kaz,mwanamke awe mrefu kiasi elimu diplomaumri kuanzia 24 mpaka 30 awe anafanya kaz au shughuli yoyote inayomuingizia kipato if...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nasoma chuo kikuu mwaka wa mwisho now.natafuta girlfriend ambaye badae atakuwa my wife nipo serious na hili.kwa sasa nipo chuoni dar na juni mwezi ujao nahitimu shahada...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mim ni kijana wa kiume,mtanzania,mwenye umri wa miaka 27,nahitaji msichana wa kunipa faraja ktk kipindi hiki kigumu cha mahusiano nlichonacho! Siyo lazima awe single coz ninachohtaji ni faraja...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…