Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, Mimi ni mwalimu natafuta mke wa kuoa nina imani hata humu ndani anaweza patikana kwani hatukuainishiwa sehemu ya kumpata mke aliye sahii. Pia mimi ni...
Naombeni ushauri... Nimechoka kuishi peke yangu natamani nipate mwanaume tuanzishe familia .... lakini kila anaenifwata moyo wangu unamkataa maana bado nampenda my x ambae aliniacha wakati bado...
Jamani Mimi ni mwanamke Mtu mzima,najiheshimu,nimeshamaliza purukushani za dunia ,sasa nataka mwanaume Mtu mzima wa kumaliza nae,awe mweusi,mfupi,kabila na dini yeyote,pia ajitume wakati wa...
Salama wana MMU.Sorry kwa kuwachosha,
MKE AU MUME SIO BIDHAA UNAYO WEZA KUIPATA SUPERMARKET AU SOKO MJINGA,CHUKUA HATUA KAMA UNANIA NA SIMAMIA MISINGI YA MAISHA YAKO BADALA YA KUTANGULIZA...
habaini wana jf.Naomba ushauri wenu mimi ni kijana wa miaka 26 imetokea nimependwa na msichana ambae ni mchumba wa mtu ambae tayari alikua ameshatolewa mahali na nipo nae kwa miaka 3 sasa tangu...
Ni matumaini yangu wana jamvi kua hamjambo. Najitokeza kwa mara ya kwanza katika ukumbi huu nikimtafuta wangu wa maisha.
Mimi ni kijana mwenye umli miaka 30. Ni mtumishi wa umma nimeajiliwa kwenye...
Habari zenu akina dada,mimi ni kijana mzuri sana kitabia,ila hadi sasa hapa nilipo na miaka yangu 29 sina mwanamke ninaeweza kusema ni mpenzi wangu.Nimechoka na haya maisha jamani kila siku mawazo...
habari,naitwa saidi natafuta msichana wa uchumba hadi ndoa miaka kuanzia 21 hadi 24 awe na elimu ya form 4 na kuendelea awe na urefu wa kawaida maji ya kunde au mweupe muislamu......mimi nina...
Baada ya miangaiko ya hapa na pale,weekend ndo inaishia hivyo,ila sijachelewa
Nahitaji mwanaume yeyote Yule anayejiamini na anachokifanya nile nae bata
Na atazawadia zawadi nono kama atafanya...
habari zenu wana jf. umri wangu miaka 25 natafuta mchumba, awe muislam na mcha mungu awe na elim yeyote ile, umri wake miaka 18-23. mi nipo dsm. aliye serious karibu sana, luv u all. (my name is...
Mim n kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, n graduate mtarajiwa toka 1 of the public versities. Natafta bint alyetayari wa kumake naye future, awe mkristo na mwenye umri 20-24. Elimu na rangi...
Jamani hivi kwa nini watu wakiona request kama hizi yaani wanakuja kwa spidi sana, wakati hata mtu humjui, chungeni adabu yatakuja kuwatokea puani bure....nawasilisha
Habari wana JF
Mimi ni mwanamke, natafuta mchumba. Awe na miaka kuanzia 36 na kuendelea. Dini awe mkristu na mcha Mungu, Awe hajawahi kuoa wala asiwe na watoto. Elimu chuo kikuu. Awe serious na...
nahitaji rafiki wa kike ambaye anaweza kuwa mke wangu wa maisha baadae.awe mpole,mkarimu na mwenye heshima elimu at least form four.kuanzia miaka 18-23. kwa aliye tayari anipm ili tufahamiane.
Natafuta msichana wa kutoka nae kila mwisho wa mwezi...
SIFA:
1: awe anapatikana dodoma au singda.
2:awe mweupe
3:asiwe mnene /tumbo wala kitambi
4:awe msafi anayenukia na...
Natumai wasomaji mu wazima. As the heading refers, am a man aged 31 yrs old, graduate (economics), public servant at one of the ministries, looking for a very very buautiful lady who is focused,at...
Jamani niseme wazi kuhusu ukweli wangu, tangia nikiwa nursery nilikuwa sipendi kuwa na marafiki wa kike, mpaka namaliza chuo sikuwa na rafiki wa kike ata mmoja zaidi ya girlfriend wangu, mtazamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.