Looking for a relationship .. Only girls aged between 18 - 30. Your race is not important.
PS: Please only PMs ..
___________________________
Get Rich or Die Tryin'
Mwenzenu nimechoka maisha ya ubachelor natafuta wa ubabu wangu wa kufa na kuzikana.
Mi ni mwanaume umri wa miaka 35 ni mkristo mtumishi wa umma.
Kwa aliye serious sichagui dini, ngozi/rangi, kimo...
Ni miaka miwili imepita bila yamatumaini wazee waliniambia nitafute mke niowe yyt ambae aliekuwa tayari kuishi na mimi bc tuwasiliane kwa cm no:0777 600127 awe Muislam endapo akiwa Mkristo akubali...
Naitwa dick masomoni ddm,natft rafiki wa kike mwenye heshima na mcha mungu.awe na sifa zifuawazo!
1.umri 22-26
2.elimu f4 na kuendelea
3.mkristo
4mweupe/majikunde na
asiwe mnene sana.p/se...
Heshima yenu Wana JF,
Natambua penye wengi hakiharibiki kitu,mimi nimebahatika kupata elimu ya chuo kikuu na Mungu amejalia nimemaliza degrii ya pili na sasa nafanya kazi.Kipato changu ni cha...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo
Awe bikira
Umri: 22-28
Awe Muaminifu na mcha Mungu
Hajatoga masikio
Awe mweupe
Awe na Elimu inayozidi form 4
Awe mwalimu
Awe hapendi kuvaa suruali
Awe...
Mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 35,proffesional nimeajiariwa. Natafuta partner aliyenizidi umri, mrefu , prefably 170 cms and above, mature,financial stable.
Wanajamii!!!!!
Vipi Mambo?
Nami natafuta mke God willing
Nina miaka 38, Gifted by God
Namtafuta Lioness hapa MMU. A seedfull woman to marry.
Umri kuanzia miaka 30-40
Kama una mtoto ooppsss...
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo,mwanaume mwenye elimu kuanzia seco na kuendelea,awe na kazi,awe na tatizo la kukojoa kitandani bila kukusudia(kikojozi)anikubali na mapenzi ya dhati bila...
Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi...
kwa sasa nahitaji an online girl friend ...ambaye atakua tayari ku-act as physical one tuwapo hewani ...na hatimaye ataweza kuwa an online wife. very interesting game! ...any girl interested...
Hi there...!
nahitji binti mzuri wa kuzugia, tukiendana anaweza kupata bahati ya kuolewa nami. I cant speak of marriage right now coz I do believe that this wil be the output of what we gonna buld...