Kabla haujaoa angalia aina za wake ili usije ukawa kama jirani yangu mmoja hapa, jina nimeliifadhi, kwaka ni kama kwa MAYENJE! Pia nampa pole yule jamaa aliyemkimbia demu wake kwa kuwa na kipato...
Kuna kaka anatafuta mchumba wa kike jaman umri kuanzia 30-35 umri wake ni miaka 45 naiman kuubwa humu jf atapata. Hakuna utani hapa namba yake. 0753655444.
habari zenu humu..
wiki kadhaa zilipitia kuna dada mmoja alikuwa anatafuta wanajamii wanao ishi arusha...sasa natafuta ile post sijaipata nilikuwa naomba msaada ili nipate username yake na...
Habari zenu wakuu! Baada ya kuzitafakari changamoto zinazoendana na mademu wakali, nimeamua nijivue gamba. Mademu wote wazuri niliopata kuwa nao au kuwafatilia wote ni pasua kichwa>kuteseka...
Habarini wana JF, mimi ni kijana mwenye miaka 28, baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu atimaye nimeona bora nitafute mchumba jamani! Sifa zangu nitaelezea kidogo tu, ni mrefu, maji ya kunde na...
Ninahitaji kua na mwenza sasa
sifa:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
miguu ya bia
mweupe
wa tanga na zanzibar watapata kipaumbele cha 1
dini yoyote sio freemason tu
Wasifu wangu
rangi... mweusi
uzito....70kg
urefu...164cm
kazi.... bado sijapata
elimu.... ya chuo
umri 30yrs
wasifu wa gf ninayemtaka
ajue kufikilia, kutafakari na atambue zuri na baya
aamini...
mimi ni mvulana, mtanashati na mpenda maendeleo aged less than 28 yrs.
Natafuta msichana wa kutoka nae weekend tubadilishane mawazo juu ya maisha, awe
1.mcheshi
2.mwenye mipango na mikakati...
mimi ni kijana(ME) umri 23 nipo chuo mwaka wa 3 Bsc.IT natafuta wa ubavu ataye nipenda nami nitampenda daima then nipo tayari kuwa naye kiuchumba na mwishowe tufunge ndoa!! find me facebook edwin...
Habari zenu jf!mimi ni kijana wa miaka 29.natafuta rafiki wa kike wa kuwa karibu na mimi,mpaka 2funge ndoa.nafanya kazi..Mwenye sifa zifuatazo tuwasiliane kupitia jonathan@gmail.com
1.Mzuri...
Moyo wangu unagiza kuu
Ni mpweke sana sana...
Uko wape eh binti mwenye kujua mateso ya moyo mpweke?
Uko wape ehh binti ,wenye funguo ya kuutoa upweke wangu?
Njoo ee malaika,mrembo na ua...
Mimi ni kijana wa miaka 26 kabila langu ni mchaga na ni mkristo mkatoliki, nafanya kazi za kutengeneza ingine, gearbox na diff za malori. ninahitaji kuoa na ninatafuta mke. sifa za mke...
hi boys and girls ladies and gentlemen am look friend to chat with regardless to level of education and other factor am at forest institute at arusha
region ma phone number is 0766849317...
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:
SIFA ZAKE:
1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65
2. ELIMU: Sio Muhimu
3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii)...
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi...
Nina umri wa miaka 35, ninafanyakazi Dar es Salaam. Mchumba ninayemtafuta,
- Awe na umri wa kuanzia miaka 26-32
- Awe mkristo na awe tayari kuishi sehemu yoyote Tanzania au duniani
- Nina lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.