Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo...
jamani kutokana na ushauri wenu wana jamvi na mimi nimeamua nimtafute mwenza hapa rafiki nilikosa maana kipengele cha kutongonoka kiliwashinda naona tu nitafute mwenza
(A)sifa za nimtakae
1 awe...
Vigezo:
1. strictly chatting, we will never meet face to face
2. Christian, politician, computer geek, Man utd fan or IT Student /specialist itakua sifa ya ziada
3. Awe na age kati ya 19- 24...
Wajameni ninahitaji mke mwenye sifa zifuatazo:
Mwenye kujazia kwa chini ya kiuno
mwenyekujua maana mume ninini
mweupe
wa tanga na zanzizabar watapewa first chance
dini yyt ila...
Habari yenu watu wa Mungu ...
Natafuta mpango wa kando aka nyumba ndogo aka small house ...
Sifa
1. Awe ni Mwanamke
1. Awe Ameolewa na ameachika
1. Awe ameolewa na anajuta kuolewa
1. Kama...
Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 29,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz mwakani by june,natafuta mweza wa maisha ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za...
habari zenu...wikend hii nipo mpweke sana hivyo natafuta company ya dada amabaye ataambatana nami beach tukapunge upepo
everything on me yeye awe na vifuatavyo
23-27 yrs
tall not less than 170cm...
AISEE WANA JF, NATANGAZA KUTAFUTA THE DESPARATE HOUSEWIVES WHO ARE STRONG, BRAVE, OUTSPOKEN AND COURAGEOUS. MANY WILL BE SURPISE TO ASK WHY THE DESPARATE HOUSEWIVES. I AM REGARDING...
Ebu tuelimishane.
Kwa muda mfupi niliojiunga JF nimekua nikisoma sana post za love connect na responses mbali mbali zinazotolewa na members and I must say am deeply dissapointed.
Naona hii ni...
Katika hali ya kustaajabisha, Mzee mmoja hapa kijijini kwetu amemkuta binti shambani kwake akikata kuni juu ya mti.Nisme alikua anaiba kuni. Mzee alimtokea kwa kumvizia na wengi tulikua tunaomba...
Nimekaa chini nikafiria, wanawake wengi sana kwenye hii Tanzania,nimewapata wa aina tofauti tofauti,ckuwa na mipango nao endelevu zaidi ya raha za muda tu.
Ila napenda nipate kabinti kazuri cha...
Nilikuwa naye kwa miaka miwili, tukawa tunaona wakati wa likizo, we were making love except sex.! Coz nlikuwa naskia matetesi..doo ni mkali ile mbaya, walikuwa wanamgwaya ndo wakasambaza mastori...
Hello wana JF, natumaini muko wazima.
Mie ni kijana mvulana, ninatafuta rafiki wa kike ambaye tunaweza kuanzia hapo kimahusiano mpaka kutimiza malengo ya kuishi pamoja kimaisha.
Msichana awe na...
Najua kuna maeneo mengi ya kumpata,kanisani etc lakini hata humu wanaosoma na hasa wewe unaesoma hii thread una akili timamu (a girl) sisemi wanaume si timamu hapa am talking about my coming girl...