Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
There is a say that "there is so many women but few wives"SO i need one from these few jamani! My introduction-Naitwa john miaka 25,nipo mwaka wa tatu chuo cha mlimani UDSM,kabila langu ni mhee...
0 Reactions
459 Replies
27K Views
Wapendwa wadada wa JF, Kwa heshima na taadhima naomba kuwafahamisha kuwa mimi natafuta msichana ambaye na yeye anatafuta mwanaume ili kuweza kufunga ndoa na kuachana na maisha ya Ukapera...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi natafuta mwenza, me ni mama wa mtoto mmoja. Kutokana na sababu zisizozuilika nimetengana na mwenzangu. Nimekuwa mpweke kwa muda. Naomba msinibeze . Nawasilisha.
1 Reactions
124 Replies
12K Views
sifa. 1. Awe DADA mlokole . 2. Awe mzima wa roho na mwili. 3. Asiwe amewahi kuonjesha kwa makusudi. 4. Awe na elimu yoyote. 5. Asiwe mzee sana ( age 18-30). Deadline 20 january 2012...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
THIS IS NOT A JOKE: NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUMFANYA MCHUMBA NA HATIMAYE MKE: SIFA ZAKE: i. UMRI KUANZIA MIAKA 18 MPAKA 32 ii. ELIMU DARASA LA SABA HADI FORM SIX (ASIWE NA...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
I am a man of below 30 yrs natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27 mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake. PM me please for further contact I...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
I am a man of below 30 yrs natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27 mcha Mungu, mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake. PM me please for further contact I present
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wana JF especially girls, nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma, Bachelor Degree, or Masters, awe faithful. Mimi nina Masters in International Trade. Aliyetayari ani PM.
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka KUOA hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata. Wasifu wangu Jinsia, mwanaume Umri, miaka 29 Dini, mkristu Kazi...
0 Reactions
96 Replies
22K Views
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28. Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
1 Reactions
64 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…