Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni...
Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema.
Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam.
Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu...
Nimegundua kuwa wanaume wenye sifa zifuatazo huwa na wivu wa kishenzi kwa wake/wapenzi zao
(1), Wenye vibamia au ambao wanahisi kutowaridhisha wapenzi zao wawapo sita kwa sita
(2) Ambao hawatoi...
Habari rafiki, kama kuna mwanaume anaevurugwa au kuteswa na mapenzi naomba usipate stress, njoo tuwe marafiki usilewe kupita kiasi utapata stress utadata buree, njoo rafiki tubadilishane mawazo...
Habari za humu jf
Mm ni mwanamke umri 32yrs naishi Dsm natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:Chagga
Elim Diploma
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Sina mtoto wala...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Habari,
Naomba niwatake wale wote wanaidhani mimi siyo muoaji au nipo hapa kupiga watu na kitu kizito kwa kulinganisha technical and fundamental analysisi ya trend za nyuzi zangu humu JF...
Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu...
Habari, jina langu halisi ni Baraka, nina miaka 39.
Kwa sasa, niko katika hali ngumu maishani. Sina makazi wala mali, na bado najitahidi kujenga maisha yangu upya. Hata hivyo, nina imani kwamba...
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee...
NIMEYAPEZA MAPENZI
1 Kumbatio la mwandani
Nilalapo mapajani
Niwe juu yeye chini
Nimeyapeza mapenzi
2 Kudeka anidekeze
Siri nizimueleze
Sauti ailegeze
Nimeyapeza mapenzi
3 Kwa ufundi...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Naishi Morogoro
Dini mkristo
Kazi ni mwalimu
Mke awe na sifa hizi;
Mrefu kiasi
Awe na kazi sio golikipa
Miaka 20_27
Awe na tabia njema
Ukiwa na sifa hizo...
Mimi ni kijana wa kiislamu nina miaka 35 nahitaji mke pia mimi ni mweusi nafanya kazi serikali .
Mke ninayemuhitaji awe muislamu kazi sio muhimu awe mweupe na asiwe na mtoto miaka isizidi 30 pia...
mambo vipi waungwana,
jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia...
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu.
Nilibahatika kuonana na...
Wana Jf nimechoka na ukapela
Kwa ufupi tu
Nilioa na ndoa yangu imevunjika miaka mitatu iliyopita.
Tuligawana tulivyo chuma kila mtu ana maisha yake na kwake
Nimejipa time ya kujiangalia na...
Mimi ni kijana wa kike, umri wangu ni miaka 28. Mimi ni mkristo, nasali kanisa la KKKT, elimu yangu ni degree moja. Ni mweupe kiasi, sio mrefu wala sio mfupi.
Natafuta mchumba ambaye natamani...