Naitwa Iman
Umri miaka 26
Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni
Makazi: SHINYANGA
SIFA ZA MSICHANA HUYO
- Awe mkristu
-black beauty
- awe mtiifu
- awe mkweli
-urefu wa kati
-umbo la kati
-...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Wanasema hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni takribani 5yrs imepita tangu nifiwe na marehemu mke wangu. Mara baada ya mama watoto wangu kufariki nilikuta nimeingia katika mapenzi na mama mmoja ambae...
Mimi naitwa Jeff nakaa Dar. Nina miaka 40 natafuta mwanamke ambaye tutakubaliana kuoana. Nimeajiriwa na pia Nina shughuli zangu ndogondogo.
Awe mwembamba asiwe mnene hata akiwa mnene asiwe na...
Habari zenu wakuu
Mimi Ni kijana mwanachuo (20-24) ndo umri wangu
Takribani miezi mitatu imepita tokea niachwe na mwanamke niliempenda kwa dhati
Nimepata shida kumsahau ingawa kidonda ndio...
Kuhusu Mimi;
Umri: Miaka 35
Kazi:Mwajiriwa Serikalini
Elimu:Shahada ya uzamili katika maswala ya anatomia ya binadamu.(Human Anatomy)
Familia/Mahusiano:Sina mtoto wala mke ingawaje niliwahi...
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke...
Wadau,
Mimi ni mdada wa miaka 30 sasa, nina mtoto mmoja ana miaka 12, nilizaa katika umri mdogo ila ndo changamoto na nimekabiliana nayo, natafuta mwanaume ambaye atakuwa partner wangu wa maisha...
Mimi ni mwanaume, 44 yrs Nina watoto wawili
Nimejiajiri kwa shughuli zangu binafsi hapa Dsm
Dini yangu ni Mkristo ,
Mwanamke anaehitajika,
Mkristo wa dhehebu lolote , umri, elimu na kabila so...
Nimekusubiri sana mpenzi, mke na mama wa watoto wangu. Uko wapi mbona umechelewa sasa mamangu? Ujitokeze tuitengeneze familia. Mwanamke uliye na ndoto ya kuwa na mume na kuwa na familia yenye...
I’m pretty easy going, down for whatever. I have a huge heart, and I care a lot about people. I’m an open book, ask me whatever. I have a passion for knowledge. I have a passion for teaching. I’m...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja na Mwajiriwa wa Serikali. Natafuta mume mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext PM kwa maelewano na maelezo zaidi. Umri 40 na...
Muda umefika sasa wa kutafuta jiko - yaani kuoa. Nina miaka 39 sasa natafuta binti mtanashati, mrembo, mpole na mshika dini - awe ana miaka 22 hadi 24 asiwe na mtoto, msomi walau kidato cha nne...
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4...
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye...
Katika pita pita yangu kwenye mitandao nimekutana na hii,nafikiri inaweza ikapata msaada zaidi kwa wale wana JF ambao nao wanatafuta wenza. Naomba niquote:
"Mimi naitwa Raymond. Ni mtanzania na...
Habari wanajamvi wenzangu!!
Poleni kwa janga hili linalotukabili.
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 29, mrefu sio sana mwembamba.
Elimu yangu ni Shahada. Najishughurisha na ujasiriamali.
Kwa...
Habari, natafuta mke wa kuoa,
awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing)
mwembamba
Miaka hadi 28
Awe anakaa na ni raia wa TZ
Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi...
Nianze kwa kuwasalimu wote kwa upendo wa dhati kutoka moyoni mwangu. Niombe samahani kwa huu uzi wangu ambao umelenga kabila fulani.
Nina sababu maalum kufanya hivyo wala sio suala la kuendekeza...
Habarini wanajukwaa
Mtu mzima mwanaume mwenye makamo ya miaka 50+ anahitaji msichana umri 21-27 kwa mahusiano ya kudumu.
Vigezo vya muhimu uwe Dar es Salaam, elimu ya kidato cha 4 kushuka chini...