Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa
Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi...
Hivi hii tabia ya kila mtu naetafuta mke au mume kutaja na vigezo vingi ilianza wapi?
Kuna wengine wanasema wanataka mume au mke mcha Mungu ukiangalia mwenyewe hata Bible au Qur'an hasomi wala...
Mimi ni Mwanaume miaka ni 32 natafuta Mke wa kuoa kabisaa mana nimechoka kuwa alone. Nahitaji Mke umri ni 24-30 Kama upo serious nicheki pm!
Napatikana Njombe na nimwajiliwa wa serikali.
Assalam alykum warahmatullahi wabarakatuh.
Mimi ni mwanaume
Umri ni 29
Muislamu
Nimesha ajiriwa
Nahitaji mwanamke ambae awe mke wangu wa ndoa akiwa Muislamu itapendeza zaidi.
Awe na umri usiozid...
Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe.
Sasa wazazi baada ya...
Kwa mrembo aliye tayari natafuta dada wa kuzaa naye, awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35. Mimi binafsi nina 38 na nina kazi nzuri ya kuweza kumhudumia mtoto. Nimeoa. Kwanini nataka mtoto nje ya...
Asanteni kwa wote mlioniandikia jumbe pm
Nimetoa namba kwa mtu mmoja tu ambaye aliugusa moyo wangu.
Bado tunafahamiana kama marafiki na ikimpendeza Mungu tutakuwa wachumba, nashukuru kwa ushauri...
Nina miaka 27, muislam, elimu yangu ni kidato cha sita, nimeajiriwa, ninaemuhitaji kwanza awe na hali kama yangu, umri usizidi miaka 35, awe muislam anayejiheshimu na aliye serious kwa ajili ya...
Good morning my people.
Awali ya yote nimekuja na Id mpya kuficha usalama wangu, ila me ni mwenyeji humu JF muda tu
Wanasema mficha ugonjwa kifo humuumbua
Nahitaji mwanaume wa kupeana kampani tu...
Mm nikijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Zanzibar kama yupo alotayar kuolewa mm nipo tayar kuoa vigenzo vyenginevyo
Muislam
Mrefu
Mwembamba
Half cast
Nywele ziwe black na ndef
Muajiriwa au mfanya...
Umri 23-30, uwe Mkristo wa dhehebu lolote, uwe wa kabila lolote ili mradi unaishi Mwanza, elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea, usiwe mnene sana wala mwembamba sana, uwe mweupe au maji ya kunde...
Habari!
Nahitaji mwanamke wa maisha umri wangu ni miaka 32 nimejiajiri dini yangu ni mkristo
Nahitaji mwanamke mwenye umri wa miaka 23-26yrs , mwenye kujua nini maana ya familia .
Sichagui dini...
Natafuta mke Binti au aliyezaa mtoto asizidi mmoja
Umri 27 hadi 35
Dini yoyote
Awe mtanzania
Awe mfanyakazi au mjasiliamali
kwa ambae yupo serious karibu PM kwa contact.
Kwa upande wangu mimi...
Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli...
Mimi ni Mwanadada naishi Kaskazini, kabila Langu ni Mmasai na nina umri ambao nitayari kuolewa nakuwa na mume. Sifa zangu mimi ni mpole na pia napenda kuwaheshimu watu wote.
Mimi ni muelewa na...
Habari wakuu
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24.
Elimu yangu ni chuo kikuu
Natafuta mpenzi ambaye atakuja kuwa mume mwenye umri wa miaka 50-60
Nimechoka kuumizwa na vijana wadogo
Kikubwa awe...
Hello wapendwa. ..Kwa heshima na taadhima na fur aha napenda kutangaza nimepata mwanaume au tuseme rafiki na nimempenda na kwasasa tupo kwenye urafiki. He is educated and matured. Yani my type and...
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya.
Kiukweli...
Kama tangazo linavojieleza, mimi nikijana mwenye umri wa miaka 28 nipo Mkoa wa Mbeya, Wilayani Chunya elimu yangu ni Degree ya Ualimu Physics and Mathematics, sijaajiriwa najishughulisha na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.