Naitwa smart introvert, nakuja mbele zenu kutafuta rafiki wa kike ambae tutabadilishana mawazo na kujenga urafiki mzuri. Umri wangu miaka 28 na nafanya kazi kampuni moja. Naishi Dar na ni mkristo...
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu...
Mimi Kijana nina miaka 21 Ni gym trainer nilikuwa natafuta marafiki WANAOPENDA fittness kwa ujumla tupeane michongo na ma deal kadhaaa na kubadilishana mawazo KWA JINSIA ZOTE
Location Dar es...
Ni DM kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 30,
Mrefu sio sana mwembamba.
Elimu yangu ni...
Salam wanajukwaa,
Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu.
Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na...
I'm Zagarino
Natafuta friend wa Ku chat nae coz sms za Voda kila siku nimezichoka..
Mara umeishiwa salio..Dahh.
Sina vigezo vingi mi sio mwanasheria
age 19-24
Marital status no comment...
Let...
Katika vitabu vya dini mbali mbali na misemo ya mababu zetu inasema ya kwamba
1. Mwanaume bila mke hajakamilika
2. Wenye akili wote wameoa
3. Ndoa ni kipimo cha akili n.k
Yapo mengi mno ambayo...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27 na mrefu.
Rangi- Mweupe
Elimu- Diploma ya ICT na Degree ya Sheria
Nipo serious nahitaji msichana/mwanamke serious ambaye yupo tayari kuanzisha mahusiano...
Ni Dm kama upo serious tu tafadhali. Lengo ni mahusiano yatayopelekea ndoa, kwa hiyo nahitaji mtu aliye na uhitaji
Mm ni jinsia ME,
Umri wangu miaka 30, mrefu sio sana mwembamba. Elimu yangu ni...
Habarin wanaJamiiForums, hope mpo poa. Twende moja kwa moja on topic. Mimi ni mwanaume wa miaka 25 ninaishi Moshi Bar jijini Dar-ea-Salaam. Nimemaliza Chuo mwaka 2014, nimesoma IT, kwa sasa...
Habari
Ni kijana wa miaka 25
Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida.
Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi.
Nimejiajiri
Ni msomi,mstaarabu na...
Habari wanajukwaa...
Najitokeza jukwaani kutafuta mwenza wa maisha ambaye yupo tayari kuwa mama wa familia.
Wasifu wangu
Umri: miaka 30+
Dini: Mkristo RC
Elimu: Bachelor's Degree
Kazi...
Sihitaji Mambo Mengi Mimi Ila ninacho hitaji Ni Mwanamke ambaye atakuwa mke wangu.
Mpaka nafikia hatua ya kumtafuta huku it means that Niko Serious na ninauwezo wa kumuhudumia na kumtunza...
Habari ya jioni wanajukwaa.
Mimi ni kijana wa kiume. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti ambaye nilipanga aje kuwa mke lakini nasikitika shetani katia mchanga kwenye mahusiano yangu. Long distance...
Wakuu salaam??
Leo nakuja tena na uzi wangu huu
Natafuta mchumba aliye serious na uchumba
Mimi ni mwanaume
Miaka 27
Mrefu wastani ,Mweusi wastani
Najishughulisha na biashara za hapa na pale...
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni...
Kwa mara nyingine narudia kukuomba wewe mrembo unaeishi Mwanza uwe na umri kuanzia miaka 23 hadi 30, kabila yoyote ipatikanayo kanda ya ziwa..... nakuhitaji uwe rafiki yangu, tukienda vizuri uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.