Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo
Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza...
Nina miaka 35 Sasa, mfanyabiashara, mkazi wa kibaha pwani, mkristo, mrefu kiasi, maji ya kunde,,graduate,,nina mtoto mmoja wa kiume, uzito 67kg
Sifa ya binti/mwanamke naye mtaka, mrefu kiasi...
Nina biashara ya kufanya na mdada yeyote mwenye utambuzi wa biashara aliyepo Mwanza. Kigezo ajue kupika vizuri coz biashara ni ya restaurant. Karibu PM
Hello,
I am a lady of 25 yrs old, nimeajiriwa In a private sector. Mrefu, mwembamba & maji ya kunde.
Ni mkristo (Anglican).
Natafuta mwanaume ambae atakuwa rafiki then mchumba na Mungu akijaalia...
Habari za humu ndani wakuu,mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 25,nimepanga hapa dar na nina jitegemea.
Hebu ni saidieni sehemu nzuri ya kupata girlfriend maaan naona kama tokea nipange...
Huu uzi ni kwa ajili ya watu walio siriazi tu.
Tunajua mapenzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu, bila mapenzi Dunia ingekuwa ni sehemu ngumu pa kuishi. Kuna waliofiwa na wake/waume, au...
Habari!Mimi ni mwanamke wa miaka 30,Nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Najitokeza nikiwa na nia ya dhati kutafuta mume popote pale ndani ya Tanzania.
Sifa ninazohitaji,
Awe mkristo mwenye hofu ya...
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali...
Habari,
Mimi ni mwanamke mkristo wa miaka 31,nina mtoto mmoja. Ninajitokeza kwenu kuweka wazi nia yangu.Ninahitaji mwanaume ambaye ana nia ya kuwa na mahusiano ya dhati na tukijaaliwa tufikie...
Natafuta mke mwenye sifa hizi:
1.Dini mkiristo/mlokole kipaumbele
2.elimu kwanzia form 4
3.umri miaka 20 hadi 25 mwisho
4.urefu 6ft au 5.5ft
5.rangi siokipaumbele
6. mwili wa wastani
7.kazi sio...
Natafuta binti wa kuoa. Kama uko serious karibu DM.
Nakaa dsm, Kwangu/Nmejenga
Miaka 31
Kazi- Nmejiajiri kwa sasa ..ila professional yangu ni Engineer.
Sifa za msichana.
Awe anakaa dsm.
Miaka...
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA...
Natafuta mdada mrembo hata Kama Ni single mother tutalea maana nam Nina watoto tayari. Awe Ana uwezo wa kujielewa na kulinda mahusiano, level ya Elimu Diploma / Degree au zaidi sawa tu.
Pm iko wazi
Hi guys hope all is well!
Natafta msichana ambaye badaye atakuja kuwa mke halali wa ndoa.
Sifa zangu nna fanya kazi mwajiriwa lakini pia nimejiajiri,
Elimu yangu; Masters,
Umri wangu 35 na...
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa...
Habari wana jf ,Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 35, nimejitokeza mbele ya wanawake wa jf wenye jinsia ya kike (mwanamke) nina uhitaji wa mke/mpenzi Niko tayari awe tayari kupima afya
Sifa...
Habari za jioni ndugu zangu wana MMU.
Bila kupoteza muda ni kwamba nina miaka 30, mkiristo, nina elimu ya chuo, nimejiajiri mwenyewe, nina urefu wa wastani.
Hivyo basi, kutokana na hizo sifa...
Nimejaribu ku act tatizo flani ili nione itakuwaje, aisee ni hatari tupu sio tu nme act but ni kweli limenitokea ila sio kwa hatua nilio ia act, mpaka mpenzi wangu hapokei simu.
Ila wadada kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.