Hello, mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27 niko Dodoma, nahitaji mchumba/girlfriend mwenye age 18 - 25 ambaye yupo serious na ana real love coz nitampenda na kumpa nafasi anayostahili...
Wakuu hili swali sijawauliza ninyi ila nimejiuliza mwenyewe sijapata jawabu mnaweza kunisadia.
Huyu ni mwanamke rafiki ake na mpenzi wangu wa zamani ,anajuwa nilivo kuwa na care rafiki yake sema...
umri:24
kazi:dereva piki piki,gari na bajaji
kabila:mchaga
elimu:4m4
wasifu:mnene kiasi mbavu,
rangi:metailk black.
dini:muislam
nahitaji mke ama mwanamke wa kuish nae ili nipate changamoto coz na...
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza.
Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo
Awe...
Habari za jumatatu ya mwisho wa mwezi wana JF.
Pole na pilika pilika za jumamosi na juamapili.
Nisiwachoshe sana wana jf.
Natafuta rafiki wa kike awe na umri wowote kuanzi miaka 20 na...
Habari wanajamvi, naitwa ***, jinsia ya kiume na mkazi wa Arusha mjini, lengo la thread hii ni kama inavyojieleza (natafuta rafiki wa jinsia ya kike) kwa lengo la kubadlshana mawazo na connections...
Hi jamani,
Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
Awe mrefu wastani...
Salamu Wakuu.
Husika na kichwa cha uzi hapo juu kwa dhati ya moyo mimi kama kijana wa kitanzania nimeamua kutoa nafasi kwa wahusika hapo juu kuwapa faraja na kuona wao pia ni watu wanastahili...
Habari marafiki zangu wa kwenye uwanja huu wa mahusiano!
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48 ambaye nina watoto tayari. Niliachana na aliyekuwa mke wangu miaka 8 iliyopita na hadi sasa nipo...
Hello
Mimi ni kijana wa KIUME mtanzania umri wangu miaka 29,mfanyabiashara naishi dar es salaam Tanzania.Elimu yangu ni Bachelor degree.DINI YANGU MUISLAM
NATAFUTA MCHUMBA MWENYE SIFA ZIFUATAZO...
Habari zenu nyote.
Mimi ni msichana nakaribia miaka 34 soon. Nina maambukizi ya HIV namshukuru Mungu nipo vizuri naendelea na majukumu yangu kama kawaida .Naishi kanda ya Kaskazini Naleta ombi la...
Nipo serious nahitaji mwanaume ambaye ana hofu ya mungu.,, mchapa kazi awe amwajiliwa au kiajiajili yote sawa, , mkristo RC, mwenye kujua nini thamani ya mwanamke,kitu kikubwa haswa AJITAMBUE ...
Mimi ni kijana wa ki islamu. Umri wangu ni miaka 31. Nina mke mmoja na watoto wawili.
Natafuta mke wa kuoa awe mke wa pili. Kama atapatikana tutaelewana.
Hakuna vigezo wala masharti.
Nipo serious
Mimi ni mwanaume wa miaka 40 na nina watoto 3. Ni mwajiriwa na mfanyabiashara. Nahitaji mke wa kufunga naye ndoa mwenye sifa zifuatazo:
1. Mcha Mungu kweli wa dini yoyote
2. Asiwe mwajiriwa au awe...
Mm ni mwanaume 32-36 yrs
Mwajiriwa sekta binafsi.
Elimu shahada ya uzamili
Mkazi wa Dar natafuta binti wakuliwazana naye kimapenzi, mengine tutakubaliana kadri ya siku zinavyoenda.
Sifa za binti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.