Habari
Mimi ni mwanaume wa miaka 52,"Nipo single"Na sijawahi kufunga ndoa katika maisha yangu.
Ni mrefu wa centimetres 170(futi 5 na inchi 7),
Rangi yangu maji ya kunde,
Kwa umbo ni mwembamba...
Habarini wa JF? Natumaini hamjambo.
Najitokeza kwenu leo katika jukwaa hili nikiwa na uhitaji wa mwanamke atakae kuwa tayari kuingia nae kwenye ndoa.
Nina umri wa miaka 27 kwa sasa na mtoto...
Habari zenu watu wote!
Natafuta rafiki, mpenzi na hatimaye mume awe Single Father ( kwa sababu yoyote ile)
Umri kuanzia miaka 40+
Mengine tutayajenga PM, karibu kwa aliye serious
Awe mwanamke...uzuri wa sura sio muhimu sana ila angalau awe na akili timamu.
Dini yoyote ila awe tayari kuwa mkristo au tufunge ya bomani.
Umri kuanzia 18 hadi umri wowote ule wa uhai.
Sijali...
I'm Tanzanian, 41yrs of age, christian, black in color, Midiam height, employed.
My preference is a girl/ woman of the following characters/look:
- Aged 28-32 years
-Beautiful with attractive...
Natafuta mke
Sifa za muhitaji
.Mrefu
.Mweusi
.Diploma ya afya(mwajiriwa gov)
.Mwembamba kiasi
.Miaka 32
Naishi Dodoma mjin
Sifa anayehitajika
.Urefu wa wastan
.Maji ya kunde au mweupe
.Elimu...
Mmi ni Dada nina miaka 27 nina mtoto mmoja natafuta mwanaume Wa kujenga nae ndoa sifa zangu mim ni mpole mcha mungu mkalimu pia mwanaume ninae mtaka aweanajitambua mchapa kazi mwenye mapenz ya...
Natafuta rafiki akidevelop awe mchumba then mke sifa ziwe hizi hapa
Awe mkristo mimi ni roman
Awe msukuma au mnyamwez kama mimi
Awe na miaka chini ya 27 mimi nina 30
Awe tayar kupima H.I.V...
Natafuta mchumba, sifa awe Na miaka 23-30. Awe mwe usi au maji ya kunde, dini yoyote, awe mrefu wa wastan, awe Na wembamba usio Na mashaka, awe Na chura wa kawaida tu. Tabia iwe njema Na...
I am Looking for a Single Mother who will be ready to be my future wife. I am also a Single father 34 of age, well educated and self employed. A single mother should have at least 25 - 30 of age...
Hi guys ni matumaini yangu mko poa
Nimerudi tena hapa love connect,nataka kushare na wengi au wachache wenye kupenda maisha ya wengine
Kwa kipindi chote tokea nitoe tangazo hapa.Nimekuwa...
Salaam kwenu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu...
Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Aliye tayari...
Baadhi ya wanaume tumekuwa malimbukeni wa kuogopa kuwaoa single mother.
Sijajua tatizo ni mtu kuogopa majukumu ya kulea mtoto uliyemkuta na mwanamke ama ni nini.!!.
Kama ni mtu kujiaminisha kuwa...
Mimi ni kijana wa kiume, 27yrs mkazi wa DSM. Natafuta mchumba wa kike umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja.
Mimi ni mkristo tena...
Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa ambaye natafuta mchumba ambaye tukikubariana ndio ataekuwa mke wangu ili nimuoe kiukweli sina vigezo vingi ila viwili tu vinatosha 1)awe mweupe na 2)awe muislamu...
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, nataman kua na mwenza lakin kila nikiwaza jinsi ya Kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu,
Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao...
Habari zenu wanachama wa jf Natafuta mwanaume ambae mungu akitujaria awe mwana ndoa wangu umri kuanzia miaka 27 kuendelea,Awe na kazi yoyote anapenda kujituma maji ya kunde urefu futi 5,Mkiristo...
Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.