Umuofia kwenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 napatikani mkoani Dodoma,nahitaji kampani ya mdada mtu mzima mwisho 35 na asiwe chini ya 28 na awe na shughuli zake ,tafadhali kama una sifa...
Awe na sifa zifuatazo:
Umri 20-25
Muislam
Mweupe
Mwenye elimu yeyote
Mchapakazi
Mkazi wa Dar es salaam
Umri wangu 26
Nmejiajiri fundi AC
Naishi Tegeta
Njoo pm kma upo tayari
Majirani wetu mpoo!
I'm 25yrs lady from Kenya searching for my better half 30-50yrs.
Note: Sina mtoto, I'm a teacher so the man lazima awe na kazi nisije kulala njaa.
Habari za humu ndani wanajamvi,
Mm ni bint mwenye miaka 28 natafuta mwanaume atakaekua mume wangu kama tutafikia muafaka huo.
Sifa zangu
Mkristo nilieokoka nampenda Yesu
Miaka 28 elimu diploma...
Wapendwa
Najitokeza tena kwenye jukwaa hili, kuchukua hii fursa ya kujitafutia mwenza aliyeko tayari kuanza maisha;
sifa zangu;
Nina umri wa miaka 39
Sijawahi kuolewa wala sina mtoto
Naishi Dar...
Habar zenu wadau,,
Mim sio muandishi mzuri sana ila nimekuja hapa natafuta rafiki wa kike,,,
mimi age yangu 28yrs mbishe zangu nafanyia dar es salaam nmeajiriwa kibishi,,
rafiki age yoyote ile...
Am a Tanzanian Woman.
Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue mapenzi na awe handsome kiasi.
Mimi Nimetengana na Mume wangu.
Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya...
Natafuta mwanamke nitakayedate naye hadi tujenge ndoa. Nipo Chuo mwaka wa Mwisho
Umri awe kuanzia miaka 18 adi 24, awe mwenye hofu ya Mungu, mkweli, ni vizuri awe Dar es Salaaam
Namba za simu...
Hi
I am Jophy, Christian, 29yrs of age, degree holder and I am at Dodoma doing my staff.
I am looking for girlfriend who is not occupied, God fearing woman, Confident very focused and lovely one...
Naitwa secy nahitaji mwenza sifa zangu
Umri: 34
Dini: Christian
Kazi : mwajiriwa ( Government)
Elimu:Degree
Sina mtoto na wala sijawahi kuolewa
Naihitaji mwenza mwenye sifa zifuatazo:
Umri: 34-47...
Nina umri wa miaka 24, natafuta mchumba wa kike alioko serious wa kuanzisha mahusiano, awa mrefu kiasi, maji ya kunde au mweusi, umri 19-22, elimu kuanzia form four, awe mkweli na mwaminifu, in...
Habari wana JF natafuta mchumba wa kike
Sifa
1 awe mkweli kweny mahusiano
2 mchapakazi
3 mcheshi
4 awe na elimu ya kujitambua
5 maji ya kunde mrefu kidogo sio mnene san
6 awr dar es salaam...
Zingatia umri hapo juu. Nahitaji mpenzi ambaye tukiendana tutaoana, sifa awe mweupe maana mm n maji ya kunde kwahyo tuchanganye rangi, awe mrefu au wastani.
Awe tayari kupima afya, pia awe tayari...
Habari
Natafuta msichana wa kuwa naye.
Vigezo:-
1. Awe amesoma diploma or degree
2. Umri miaka 20-25
3. Muislamu
4. Mkazi wa Dar es Salaam
5. Mrembo
Umri wangu ni miaka 28. Ni Electrical...
Sifa zangu nina umri wa miaka 32 nmrefu wa wastan mweusi, mpole, nina mtoto 1 wa kike ana miaka 6 nimejiajiri mwenyewe mwanamke ninayemhitaji sifa zake rangi yeyote, mrefu kias muelewa awe...
Natafuta mwanamke ambae ambae tutafikia hadi kuoana na kuishi kwa amani
Sifa
Awe na umri kuanzia 23 hadi 29
Awe muislam
Awe na hof na mungu
NB:
Rangi na kimo sivipi kipaombele. Sio lazima awe...
Sifa za mwanamke
1 Umri 20-24
2 Elimu kuanzia form 4
3 kabila lolote
4 asiwe na mtoto
5 Asiwe mfupi Sana, yaani urefu wa wastani au mrefu kabisa
6 Rangi iwe ya Maji ya kunde au mweupe
7 Awe tayari...
Habari wapendwa!
Mimi ni msichana wa miaka 23. Natokea mkoa wa Mwanza Ni mkerewe nimeamini fika kuwa nikija hapa JF naweza pata mchumba wangu wa kunioa. Kwa Sasa nipo Arusha nasoma elimu ya Juu...
Mimi ni msichana wa miaka 27 muajiriwa selikarini elimu yangu ni degree moja, mkristo naishi Morogoro. Natafuta mchumba mwenye sifa hizi, awe mkristo mcha Mungu muajiriwa au aliyejiajiri elimu...
Natafuta MKE wa kuoa,awe mrefu,maji ya kunde au mweupe,mkiristo,mpenda maombi,awe na hofu ya MUNGU,awe anajua kusoma na kuandika,umri kwanzia miaka 21 hadi 31
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.