Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nina umri wa miaka 27 natafuta girl awe na umri kuanzia miaka 21-24 awe mkristo nipo serious akiwa Kanda ya Ziwa itapendeza sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi sio malaya ila natafuta rafiki ambaye atanipa kampani ya kuchart kuongea na kushauriana kukutana na kuongea tu sio kingine kama uko serious ni contact ila uwe Arusha
8 Reactions
91 Replies
9K Views
Wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni kijana umri wangu ni miaka 36, nipo mkoani. Leo hii nimejitokeza kwenu ntafuta mke na sio mchimba sababu nipo tayari kufunga nae ndoa mara...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika Mume wangu popote ulipo nimechoka kukusubiri, sijui kwa nini utokei unaachia gap mabaharia kuendelea kunidanganya tu Kwa sasa naendeleza gurudumu la maisha...
29 Reactions
172 Replies
15K Views
  • Closed
Mimi ni msomaji mzuri wa humu muda mrefu sana,najitokeza kwenu kutafuta mume ambae yuko tayari kwa ndoa na kupima ukimwi. Wasifu. Ni mama wa mtoto mmoja. Naishi Dar es salaam. Elimu yangu chuo...
12 Reactions
375 Replies
45K Views
Habari, Mimi ni mwanamke mwenye miaka 30. Ni mwajiriwa na nina elimu kiasi. Ninajitokeza kutafuta mwenza katika jukwaa hili. Ninayemuhitaji; Awe mkristo Awe matured Man mwenye kujitambua. Awe...
16 Reactions
224 Replies
21K Views
Habari Mdada wa miaka 31, natafuta mkaka ambaye atakuwa tayari kuwa mume. Vigezo: mstarabu, mchapakazi. mbaye pia sio HIV+ anakaribishwa.
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari, Natafuta mume muislam aliye na hofu na Mungu. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea awe mkoani kilimanjaro au Arusha. Nina miaka 28 na nina mtoto mmoja sijawahi kuolewa. Shukrani
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Hello everyone, This is to inform you that there exists a vacancy for a young beautiful lady who is looking, willing and committed to settle down and begin a family. I am a young Christian man...
20 Reactions
346 Replies
19K Views
Mimi ni mdada miaka 28,muajiriwa taasisi binafsi. Rangi yangu kama ya Hamisa obeto.Umbo langu kama la Haika Navy kenzo(flat fulani hivi lakini halichoshi kuangalia wala hulikinai) Urefu ni size...
13 Reactions
92 Replies
8K Views
Rafiki wa kike anahitajika awe anaishi Iringa. Karibu PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Mimi ni ME, umri wangu miaka 32. Naishi Dar. Nahitaji mwanamke black, umri usizidi miaka 32. PM me..
4 Reactions
31 Replies
38K Views
Niliwai kuweka offer yangu humu kuwa nahitaji kuoa lakin mke asiwe na uwezo kwa namna yoyote kuzaa. Nitampenda mno. Nina watoto 2 tayar. Mama zao walishaolewa zaman huko. Sitak kuongeza kamwe...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Naitwa jey naitaji mwanamke wakufunga nae ndoa umri kuanzia miaka 22 na kuendelea awe Islamic ambae yupo serious namba 0654 26 40 50
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu huu Ugonjwa wa Corona ni siriaz afu ukiwaza Chain yake basi Walioathirika wanaweza kua wengi kuliko, tuzidi kuchukua tahadhali madhubuti Sasa nije kwenye Mada Hili jukwaa ni kwa ajili ya...
3 Reactions
67 Replies
5K Views
Vigezo; Umri:miaka 22-28. Dini:Muislamu. Elimu: kuanzia f.four na kuendelea. Asiwe na mtoto. Mimi; Umri:miaka 30. Dini:Muislamu. Elimu: chuo kikuu. Sina mtoto. Karibuni PM. Sent using Jamii...
0 Reactions
12 Replies
742 Views
  • Closed
Habari wanajamvi wenzangu!! Poleni kwa Majukum Kwa jina naitwa John, Umri wangu miaka 28, Elimu yangu ni Shahada Ni mkazi wa Mwanza Nipo hapa kutafuta rafiki/mwenza ambae yupo serious na anaejua...
1 Reactions
8 Replies
915 Views
Utangulizi hapo juu, unamaana, Ningependa kumpata mwanadada anayejitambua, anampenda Mungu na kujiheshimu. Elimu sio dili, vigezo hapo ndio vinamata. Mimi ni MKRISTO. Awe na umri kati ya...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Nawasalimu toka Kijiji Cha Wishiteleja. Wilaya Kishapu, Mkoani Shinyanga. Ngoja twende kwenye mada, maana staki kumchosha mtu hapa. Sasa baada ya kuweka tangazo la kutafuta Mchumba, Mume nk...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Poleni na corona guys tujihadhari huko marekani watu weusi wanaongoza kwa vifo ni kwasababu wanaongoza pia kwa idadi ya watu walio na kisukari na magonjwa yanayofanana na hayo so take precautions...
5 Reactions
86 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…