Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa
Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.
Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi...
Habari zenu
Mimi ni kijana wa miaka 27 naishi dar es salaam.
Natafuta mke wa kumpenda na kujenga familia nae.kwangu naona huu ndio wakati sahihi wakuanza kujenga familia.
Kwanini natafuta...
Assalaam Alaykum!
Mm ni mwanamke wa Kiislam umri
(30),Sijawahi Kuolewa na wala sina mtoto
Nahitaji Mume Mwenye Sifa hizi:-
Awe Muislam,
Awe yuko ndani ya Ndoa tayari,
Umri kuanzia 35-50,
Awe...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, natafuta mke mwenye status kama yangu. Kama yupo tayari anitext pm kwa maelewano na maelezo zaidi umri asinizidi miaka mitano..
Sent using Jamii Forums...
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko...
Ndugu zangu wasaalam mimi ni kijana 29 yrs kwa umri huu na kujituma ninakofanya ajitokeze msichana yeyote kuwa msaidizi wangu mwishoni tujenge familia sina uchaguzi mwingi naamin muke mwema...
Habari zenu wana jamvi. Natafuta mwanamke aliye tayari kuingia katika mahusiano ili tufunge ndoa .Sifa awe mrembo mchapa kazi mwenye upendo ,dini yoyote ila tukifikia hatua ya ndoa awe tayari...
Habari ndugu zangu,
Niende kwenye point moja kwa moja. Mimi nimekuwa nikiifatilia JF kwa muda mrefu zaidi ya miaka miwili sasa.
Mimegundua kuwa hapa ni sehemu sahihi na unaweza kupata au kutatua...
Habari za siku nyingi waungwana..
Ewe Bachelor mwenzangu unayehangaika kutafuta mke sehemu mbalimbali hadi huku mitandaoni bila mafanikio hii ni habari njema sana kwako......Fuatilia.
Sio jambo...
bonjour wana jf ! umri wangu ni miaka 32 ni mfanyabiashara naishi singida, Elimu yangu ni chuo. nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo ili awe mke wangu ! awe mcha mungu dini yoyote,awe na umri...
Kwa hakika upweke ni mbaya sana unaweza jikuta unajinyonga ndani Peke yako, ninatafuta mwanamke umri kuanzia 20 mpka 28 , awe anajielewa na anapenda kujishughulisha, ila awe tayari kuhamia...
Sina kazi,sina pesa, sina msichana wala mke ila nina hofu na Mungu na nataman sana kupata mwenza kikwanzo kazi sina.
Elimu form 6 naishi kucheza mpira ndondo wanaita, na kuwa kibarua wa fundi wa...
Habari Nina 30 miaka natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 kuendelea awe dini yoyote kabila lolote. Awe anajishukhulisha na chochote hata akiwa na watoto sio mbaya awe tayari kuchek afya pia asiwe...
Habari zenu natumai ni wazima kuna tabia kwakweli humu sijapendezwa nayo unakuta MTU anapost anahitaji mwenz wanakuja watu na kuanza kumdhihaki kumsema na kejeli kiukweli huo ni ushamba.kama hauko...
Sijali elimu wala kazi yake. Ila ningependa awe mrembo na kikubwa awe mwenye hekima ya kuishi na mume. Endapo atapenda tutafunga ndoa japo sio lazima pia kama hahitaji
Mimi
umri miaka 30
Ni...
Natafuta mwanamke mtu mzima anayejielewa na ambaye anahitaji kuwa na mwanaume wa kutulia nae kimahusiano.
Nahitaji wazee wenzangu umri kuanzia miaka 30 au zaidi na mwisho ni miaka 45.
Ukiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.