Habari JF
Nimeona vyema kuongea hapa kwa walio single basi tuelewane
Nina imani mke mwema anapatikana kokote tu. Haijalishi mtandaoni au mtaani, ile kasumba ya wanawake wa mtandaoni ni...
Utangulizi:
December 2018 Nilienda musoma kumtembelea rafiki yangu wambura. ilipofika siku ya sabato wambura aliniambia tukasali sabato kwa sababu kwao wambura wote ni wasabato nami sikuwa na...
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 40 sijawahi kuolewa wala kuzaa.
Natafuta mwanaume ambae tayari ana watoto ila sio mume wa mtu tutasaidiana kulea awe na miaka kuanzia 40.
Najitegemea nina kwangu na...
Habari wanajamvi wenzangu!!
Naomba twende moja kwa moja kwenye maada lengwa ili nisiwachoshe
Mm ni jinsia ME, umri wangu miaka 29, mrefu kiasi mwembamba, mweusi kawaida.
Elimu yanngu ni Shahada...
Habarini wakuu,,,, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada kuu.Nipo hapa kutafuta mchumba wa kike ambaye basi kwa namna moja au nyingine mambo yakienda vizuri awe mke wangu.Mimi ni...
Mungu alivyomtengeneza Adam akaona ni jambo jema kuwa na mwenza ambaye ni Hawa. Muda wa kukaa upweke naona ufike tamati. Natafuta mke mwema mwenye maadili ya kumpendezesha mungu. Mimi ni mwislam...
Heri ya mwakampya wanaJF
kama kawaida, mwaka mpya na mambo mapya
nahitaji mwanamke aliyejitunza vema na bikra yake nije niibikiri na kumuoa kabisa
umri ni kuanzia miaka 23 mpaka 26
Dini yoyote...
Habari wana jf natumaini wote ni wazima kama mada inavyojieleza hapo juu natafuta mshichana ambaye yupo tayari huanzisha mahusiano na hatimaye ndoa aliye serious kwa ajili ya kuanzisha mahusiano...
Habari zenu Wana JF.
Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ila bado sijafanikiwa kupata ajira.
Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye upendo wa kweli...
Hi Jamii forum family,Ts my second time here.
I'm 30 years of age Tanzanian with hiv+ on medication , I'm looking for a gud man ,he just have to be smart with a very gud sense of humour ,age...
Habari ndugu zangu Niko hapa kutafuta marafik ambao tuna endana kwa vitu tunavyo penda na sio kama Sina marafik ila nahitaji marafik wapya.binafsi Mimi ni kijana Nina 28 age.
Job: nimeajiliwa...
I am female aged 29, I am looking for a man who is serious to get married this year. Guys help me find the best man in the world, awe na miaka 30 nakuendelea. Mwenye kazi yake na mwenye kujitambua
Vigezo
Sifa zangu, ,mbahili (sina matumizi yasiyo ya maana nahudumia mambo ya msingi tu).kwahiyo ukija na staili za kudanga kwang itakula kwako,,nina tamaa sana ya kutoka kimaisha hivyo nafanya...
Habari ndugu zangu, natumai mu wazima
Nakuja na mtazamo wangu kwa hili kundi la kina dada kujitangaza kutafuta waume. Kiukweli wengi wao umri kidogo umesogea lakini bado hawajakua wala kujifunza...
Habari wana JF,
Nikiwa na nia thabiti, ninatangaza kutafuta mume. Mimi ni mwanamke mwenye Umri wa miaka 31.
Upande wangu,
Nina mtoto mmoja>5 yrs
Elimu yangu Diploma
Ni mwajiriwa
Ninahitaji mtu...
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na...
Habari zenu. nmekuja kwenye jukwa hili nikiwa na uhitaji na mwanaume ambaye baada ya kukubaliana tunaweza kwa pamoja leta kiumbe kipya duniani. wasifu wangu; mimi ni mkristo,mwanamke wa kawaida ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.