Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nahitaji mwanamke ambae anajielewa wa kuanza nae urafiki hadi kuwa wachumba. Na siku za mbele tuweze kuwa wanandoa Sifa zangu Ni muislamu Umri wangu 30 Ninaishi single Sina mtoto Sifa za...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Habari Ni kijana wa miaka 27 Kutokana na matatizo Yangu(kiafya)sitoweza kuzalisha kwa njia ya kawaida. Ukiacha tatizo hilo,Niko mzima wa afya na mchapa kazi. Nimejiajiri Ni msomi,mstaarabu na...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Ukiwa mtu wa kuangalia mambo kwa juu juu basi kila kitu kwako kitakuwa kigumu. Kusoma unaweza kuona ni kugumu, kufanya kazi kugumu, hata kusubiri mshahara unaweza kuona ni kugumu. Urahisi kwako...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
-Miaka 34 -Mwajiliwa wa serikali -Mzamili kielimu(Nimemaliza mwaka huu) -Mkristo -Situmii kilevi chochote Mdada/Mwanamke -Umri miaka 30-34 -Dini yoyote -Kabila lolote -Mfanyakazi/Asiye na kazi...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Salaam.wakuu Habari za Weekend Mkopoa Matumaninu Yangu Nashukuru Naomba Kuuliza Au Kushare Hili Tujajadili Pamoja Huwenda Tukapata Hitimisho kwa Ushauri na Uchangiaji Mbali Mbalii. Hivi...
0 Reactions
6 Replies
914 Views
Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapo juu Nikickek umuri wangu sasa naenda kugota 25 hivyo nahitaji mwenza wa kuwa naye maishan mwangu Lakin siyo tu nahitaji mwenza...
5 Reactions
40 Replies
6K Views
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
1 Reactions
103 Replies
33K Views
:panda::panda:Rafiki yangu anatafuta seroius mchumba atakaye kuwa mke ndani ya kipindi kisichozidi mwaka mmoja , Kwanini rafiki yangu? Yeye amesoma kufikia ngazi ya kuwa Padre na...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia...
0 Reactions
2 Replies
771 Views
Habari za jion Wana JF .... Mm ni kijana umri 30+ -Urefu 5.4 nch -Colour -mweupe kiasi -islamic -Nna watoto wa3 kila mmoja na mama yake, -Ila nnaishi watoto wangu. -Kaz yangu ni Mishen town tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jina: Patric Umri: 30 Kazi: Mwajiriwa Dini: Mkristo Elimu: Degree Simu: Baadaye Lengo: Natafuta mke wa kuoa Sifa za mke ni mtakaye. Umri: 26-35 Dini: Yeyote Kabila: Lolote Kwa mawasiliano zaidi...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha Habari hapo Naitwa Frank , huu ni mwaka wangu wa 25 , Nimesoma , Nimeajiriwa Serikalini (Tanzania Defence Force) , Ni mwanaume anayejitambua na muelewa sana, Naweza kummudu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama Kichwa cha nyuzi kinavyosema.Natafuta Mpenzi ili baadaye awe kuja kuwa mke. Sifa zangu; Jinsia Me Umri 30 Kazi Muajiriwa Kimo Sio mrefu wala mfupi Elimu yangu. Shahada ya kwanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waungwana habari zenu!nisipende kupoteza muda sana,mimi ninaumri wa miaka 33,mkristo,muajiriwa,natafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa kama tabia zake zitaridhisha Sifa 1)Awe mkristo wa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wajumbe husikeni na kichwa cha habari hapo; Mwaka jana mwezi wa saba nikiwa katika harakati za kumvisha pete mchumba wangu tuliedumu kwa muda wa miaka miwili, niligundua hakuwa mwaminifu hata...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kiume, Miaka 30. Graduate, nimeajiriwa serikalini. Naishi DSM. Dini yangu ni Muislam, mimi ni mstaarabu na nina hofu ya Mungu. Sijawahi kuoa wala sina mtoto...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Nashughulika na biashara ya kuendesha BODABODA aina ya SUNLG, Na nina elimu ya FORM TWO, na nilifaulu masomo yote isipokuwa Kemia tu, ila sikuendelea na form three kutokana na mvurugiko wa...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Za mda huu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Hivyo RAFIKI wa kuchat naye na kubadilisha mawazo pale nafasi inapoatikana, Ni vizuri asiwe mtu wa mambo mengi na atoe ushirikiano mzuri...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hellow, Naitwa Nasibu Nina umri wamiaka 26, elimu Bachelor,nahitaji mwanamke wa kuoa lakn vigezo vfuatavyo vizingatiwe 1.Mwislam 2.umri 23-32 3.awe tayr kwa sasa NB:alyoko tayari aje inbox 0747631486
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma...
0 Reactions
7 Replies
847 Views
Back
Top Bottom