Matumaini yangu kuwa mu_buheri wa afya, hata kwa wale ambao kwao siku imekuwa nzito muumba atawajaza wepesi.
Bila kupoteza muda nilejelee maada husika. Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri...
Natafuta mwanamke mwenye kujielewa ili awe mpenzi wangu
Sifa-:-
1) umri kati ya 25 mpaka 45
2)ambaye yupo tayari kucheki afya(yani tukapime wote)
3)mwenye kazi yake au biashara
4)mwenye...
Wakuu
Maji yameshafika shingoni naona uzee ndio huu ulishaingia, kwahivo natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 55 hadi 60 nimuoe ilitumalizie uzee wetu, awe na watoto sawa tu, awe alifiwa na mume...
msichana wa type ya kishua(asinitegemee sana kifedha kwani na mimi ndo nimetoka tuu chuoni) mwenye mwili wa wastani, rangi asiwe mweusi. miaka 18 mbaka 24.
dini yoyote(mkristo atapata kipaumbele)...
Mi nikijana mwenye miaka 29
Rangi yangu: Light skin
Kimo: 5’8
Dini: Mkristo
Msukuma kwa kabila, nimemaliza chuo 2017 na kupata shahada yangu ya kwanza. Nimwajiliwa serikalini.
Nilikuwa kwenye...
Mimi ni Mkristo mcha Mungu mlutheri miaka 30 nipo Dar es salaam.
nafanya kazi katika kampuni binafsi.
Nahitaji mume Mkristo mcha Mungu mwenye mapenzi ya dhati.
Awe hajawahi kupata mtoto kwani na...
Mimi bint4 natafuta mwenza aliye serious.. Tuyajenge maisha
Sifa zangu
Umri miaka 34
Elimu kidato cha
Sina mtoto
Sifa za nimtafutae
Awe na miaka 34-45
Muelewa mwenye hofu ya MUNGU awe...
Hoyaaa masera....mimi sio mgeni sana humu ndani.Ila nimemuona jamaa yangu amepata mtoto mzuri toka jamiiforum.Nikashangaa kumbe yale mambo watu wanasemaga ni kweli kuwa kuna mademu mazuri humu...
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Nnahitaji mwanamke atakae kuwa na mapenzi ya dhati, wasifu wangu
>Mrefu wa Wastani
>maji ya kunde
>Nimejiajiri
>Sina nyumba nimepanga room 1
>Nipo DSM
>Elimu ya...
Mimi ni mwanaume nipo Kilimanjaro, nimejiajiri natafuta marafiki wa kike tu wawe wajasiria mali. Lengo ni kubadilishana mawazo kwani mimi naamini kua nahitaji sana ushauri kutoka kwa wanawake...
Habari za uzima wakuu? Natafuta binti mwenye sifa zifuatazo:
Umri chini ya miaka 30,
Awe na utu,uvumilivu na upendo.
Elimu kuanzia kidato cha nne.
Awe tayari kuishi dsm.
Kimo kuanzia futi 4ft 9'...
Habari zenu! mimi ni binti wa miaka 24 ninaishi dar es salaam. Natafuta mwanaume au mume mwenye uvumilivu awe na upendo kwangu pamoja na ndugu zangu pia nitampenda awe amejiajiri au kuajiriwa sio...
Kama nilivyojieleza, wasichana mlioko mikoa hiyo tajwa hapo mpate bahati gani tena ingine!? mtapata kukutana na mimi Live
Masharti Kuzingatiwa
- Ni Inbox
- Uwe smart na charismatic
- Kichwani...
Habari zenu
Kama heading inavyoeleza hapo juu Mimi ni mwanamke mwenye umri Wa miaka 30 nahitaji mume aliyekua serious kuhusu kuingia kwenye ndoa not jokes
Dini yangu ni Muslim, elimu yangu ni...
Habari wana Jamii Forum.
Nipo kwenye kipindi muafaka kabisa cha kupata mwenza wangu wa maisha. Swala la kumpata mtu sahii wa kuoa/kuolewa ni changamoto hasa zama hizi. Kutokana na kukua kwa...
Haijalishi tumekutana mtandaoni amini tunaweza kuwa mke na mume endapo tutakubaliana, kupendana, na kuendana
Most of peoples tunakosa Muda mzuri na sehemu nzuri ya kukutana na wenza ambao ni...
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyo sema mume anapatikana hapa kama ulikuwa unahitaji mume basi hapa umepata.
Umri wangu ni miaka 25 Kiukweli nimekuwa nikitafuta mke mwanye vigezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.