Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Husika na heading, nahitaji mwanamke (fiance) anayejielewa vyema kuanzia umri wa miaka 22 , elimu sio kigezo sana, kuanzia form 4 akiwa anajua hesabu kiasi itakuwa vyema. Usiwe mfupi, maana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mamboz. Natafuta rafik wakike wa kubadilishana nae nawazo, life sharing experience in defferent stuffs n others. AGE kunzia 18 Miak yangu ni 26. If ur intrested my pm ipo wazi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Awe mnene kias mweupe,umri miaka 24 mpaka30 umri wangu 32 Nina kazi ya kuniingzia kipato msomi kidogo km upo tayar please PM
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwanza niweke wazi mimi ni miongoni mwa binadamu waliokamilika kila idara “Perfectionist”, so sinaga habari hovyo, mimi mambo ni clear huwa sikosei. I’m a serious guy, focused and faithful to GOD...
1 Reactions
78 Replies
6K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta Mwanaume mwenye Hali Kama yangu.kama unauhitaji wa mtu Kama Mimi plz pm mengine tutajuana mbele ya safari
8 Reactions
72 Replies
8K Views
Mimi ni mwanamke miaka 27 nipo Dar es salaam naishi namaambukizi nya VVU natafuta mume wa kunioa mwenye hali kama Yangu miaka29 mpka34 awe na afya nzuri awe amejikubali awe mkristo awe tayali...
6 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama heading inavyoeleza hapo juu Sifa zangu Kijana wa kiume 27yrs Mrefu Nimeajiriwa Christian Muaminifu Upendo wa kweli Sifa za ninaye muhitaji Msichana Umri 20-26yrs Awe anashughuli ya kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Niingie kwenye mada tajwa. Nahitaji mke mwema. Sifa za nimtakaye Awe mwaminifu mwenye nia ya kweli, aliyemaliza mambo ya ujana, aliyetayari na mwenye shauku ya kuanza familia. Umri 26-35...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke! Wawe umri wowote Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge. Ni hayo tu Aggy
15 Reactions
167 Replies
16K Views
Ipo hivi Kuna Dada fulani aliolewa na Jamaa msomi (Engineer) ila uyu dada hakua amesoma. Walikuwa wanaishi vizuri kiasi kwamba mwanaume ameridhika na mkewe. Maisha yalikuwa yakienda vizuri...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi, imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo Msabato, Lutheran etc, kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe...
8 Reactions
199 Replies
15K Views
Ewe dada mwenye shida ya kuolewa kimbia hapa! Mkaka nakufata wewe mwenye lengo la kuwa na mwenza njoo tuzungumze PM... sina vigezo mimi Tukiwaita humu hamtaki mkiitwa na Rwakatale mnakimbia Mob...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdada au mama mtu mzima anahitajika kwaajili ya messenger chats. Umri kuanzia mwaka 23 na kuendelea na awe tayari kutuma picha zake bila kizuizi[emoji848][emoji848][emoji848] Kama upo tayari PM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndio umuhimu wa mama kubwa unapoonekana.... Unafunikwa mpaka nyusi.... Wanaposema blanket chapa ntu godoro wewe basi ndio hii... Na baridi kama hii... Kimbaumbau tupa kule... Sorry weka store kwa...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
kama topic inavyojieleza natafuta mchumba wa kike umri wangu 25 na yeye awe na 18 -26 Awe single mother pia sio mbaya kikubwa 2pendane 2 Kwa maelezo mengi njoo Pm am SERIOUS
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Mm nikijana wamiaka 26 natafuta mpenz hatimaye aje kua mke sifa awe anatokea mkoa wa manyara kwaaliyepo aniPM mengine tutaelekezana huko
0 Reactions
4 Replies
819 Views
Oyo niaje mazee? Ni takribani wiki mbili sasa tangu, demu wangu niliyempenda aolewe. Kwa kweli, ndani ya hizi wiki mbili nimepitia wakati mgumu sana ila nashukuru angalau moyo sasa umetulia na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za weekend wana jamvi. Awali ya yote napenda kuchua nafasi hii muhimu kusema asanteni wote kwa michango yenu. Vilevile kuwaomba radhi wale wote tuliopishana kauli au waliokwazika kwa namna...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wanajamii. Mimi ni kijana 28yrs, tall-white, self-employed (najiweza). Nahitaji mwanamke wa age 30-45 (awe vizuri financially). Welcome PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Ndugu zangu habari za leo? Kama kichwa cha habari inajieleza nahitaji mchumba wa kuoa msichana Elimu yangu degree,miaka 39, kwa sasa naishi nje ya nchi kwa mkataba ya miaka mitatu,sina...
2 Reactions
71 Replies
8K Views
Back
Top Bottom