Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

  • Sticky
Salaam sana Wakuu Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi...
98 Reactions
1K Replies
865K Views
  • Sticky
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki. Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
148 Reactions
1K Replies
297K Views
  • Featured
Habari Wana JF Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki Sababu...
10 Reactions
28 Replies
560 Views
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
21 Reactions
309 Replies
4K Views
Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni...
24 Reactions
117 Replies
3K Views
Hello ushauri wenu jamani Kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano anafanya kazi bank fulani,ni mpole ananijali siku ya kwanza ku meet tu bila kufanya chochote akanitembezea 30k tuli meet sehemu...
4 Reactions
20 Replies
311 Views
Binafsi sijawahi kupendwa na demu wa rafiki yangu. Kama wewe ulishawahi kupendwa na demu wa rafiki yako tuelezee ilikuaje kuaje. Siasa mbaya sana.
5 Reactions
134 Replies
24K Views
Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine. Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika. Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi... Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost...
28 Reactions
126 Replies
2K Views
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa...
109 Reactions
438 Replies
10K Views
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo...
5 Reactions
18 Replies
202 Views
Habari wakuuu, Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano. Moja ya mambo...
25 Reactions
264 Replies
11K Views
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako? Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
9 Reactions
112 Replies
18K Views
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi. Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa...
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini. unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu hali...
2 Reactions
21 Replies
416 Views
Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
33 Reactions
161 Replies
4K Views
Wanandoa wengi makadilio ni 70% ya wanandoa wanaishi kama maadui ndani ya nyumba yani hawana upendo kabisa ukifikili kwa undani ni mabadiriko ya akili ambayo ufanyika kwa wanandoa wengi sana...
0 Reactions
10 Replies
174 Views
NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO. Unapotafuta mwenza wako wa...
3 Reactions
13 Replies
141 Views
Haya haya sasa March ndio hii Swali kama mmeliona hapo Msaidieni mwenzenu Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu Ila ana kibamia na hatoi hela Afanyaje?
5 Reactions
26 Replies
498 Views
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako Habarini Wakuu, Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza...
50 Reactions
7K Replies
466K Views
Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
6 Reactions
12 Replies
454 Views
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi...
68 Reactions
239 Replies
5K Views
Back
Top Bottom