Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

Awe na sifa zifuatazo
  • Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
  • Awe Mkristo
  • Awe tayari kupima hiv
  • Awe anaishi dar es salaam
  • Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
Sifa zangu
  • Nina miaka 33
  • Kazi; duka kariakoo
  • Sina mtoto
Baba Kabla ya yote tambua ndoa ni taasisi na sio kikundi cha watu wa wili.

Kunakitabu cha wasabato kinaitwa NYUZI YA KAMBA TATU.

Kitakupa mwongozo mzuri wa kumpata mtu hatua za kuwashirikisha wazazi mpaka kufika kuowana.
 
Kwan msabato kakuambia
 
Nimekuambia usinlalamikie mimi watumie mod sms wafute jukwaa la love connect
Ni njia niliyochagua sasa iweje wewe uumie
Kwanini uchague njia kama hii,huko ulipo kwenye mazingira Yako hakuna wanawake..kwanini uje humu mitandaoni kutafuta mtu usiemjua awe mwenzi wako wa maisha,
 
Back
Top Bottom