tapemeasure
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 160
- 106
Baba Kabla ya yote tambua ndoa ni taasisi na sio kikundi cha watu wa wili.Awe na sifa zifuatazo
Sifa zangu
- Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30
- Awe Mkristo
- Awe tayari kupima hiv
- Awe anaishi dar es salaam
- Elimu bachelor ya kozi yeyote ile
- Nina miaka 33
- Kazi; duka kariakoo
- Sina mtoto
Kunakitabu cha wasabato kinaitwa NYUZI YA KAMBA TATU.
Kitakupa mwongozo mzuri wa kumpata mtu hatua za kuwashirikisha wazazi mpaka kufika kuowana.