Salaam sana Wakuu
Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi...
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki.
Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
Habari Wana JF
Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki
Sababu...
Wakuu Mnaendeleaje Mimi Ni Kijana Sahivi Nina Miaka 22 Ila Sijawahi Sex Kabisa Na Mwanamke Yoyote Na Ninaogopa Sana Hilo Tatizo Linaweza Kuwa Nini Kwa WENYE Utalaamu Kabisa Na Ikoje Hiii??
Haina haja ya salamu watu tupo busy.
Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni...
Hello ushauri wenu jamani
Kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano anafanya kazi bank fulani,ni mpole ananijali siku ya kwanza ku meet tu bila kufanya chochote akanitembezea 30k tuli meet sehemu...
Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine.
Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika.
Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi...
Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu...
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost...
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa...
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo...
Habari wakuuu,
Kama tunavyojua kwenye harakati au maisha ya kimapenzi tunakutana na misuko suko ya hapa na pale, misuko suko ambayo inatufanya tuyachukie mapenzi au mahusiano.
Moja ya mambo...
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?
Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi.
Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa...
Wakuu
Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini.
unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu
hali...
Wanandoa wengi makadilio ni 70% ya wanandoa wanaishi kama maadui ndani ya nyumba
yani hawana upendo kabisa ukifikili kwa undani ni mabadiriko ya akili ambayo ufanyika kwa wanandoa wengi sana...
NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO.
Unapotafuta mwenza wako wa...
Haya haya sasa
March ndio hii
Swali kama mmeliona hapo
Msaidieni mwenzenu
Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu
Ila ana kibamia na hatoi hela
Afanyaje?
Bikra ni alama ya uaminifu na baraka kwa kizazi chako
Habarini Wakuu,
Naweza kuwa tofauti na wengi, naweza nisiungwe mkono na wengi hasa wale waliooa na walioolewa, lakini ninachojaribu kueleza...
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi...