Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha. Eti wanajamvi, hii...
3 Reactions
26 Replies
785 Views
Huyu mMachame nilizaa nae miaka 17 ilio pita nilivo mgudua kwamba sitafika mbali nae kwa tabia zake tukaachana nae kwa maelewano kwasbb nilijua udhaifu wake ni pesa mali nikamuachia mali za aina...
16 Reactions
97 Replies
2K Views
Waache Waende Kama mtu anataka kuondoka maishani mwako, mwache aende. Kama mtu amechagua mtu mwingine badala yako licha ya upendo wote uliompa, mwache awe na maisha yake. Mruhusu aishi...
28 Reactions
59 Replies
2K Views
Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko...
28 Reactions
245 Replies
5K Views
Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume . Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani...
37 Reactions
106 Replies
4K Views
Kwa uchunguzi wangu mpaka nimefika hapa naamini hakuna kitu kinaitwa jini mahaba. Hii dhana imekuja baada ya mume au mke kushindwa kutimiza wajibu wake mchezoni na kusingizia mwenza wake ana...
0 Reactions
5 Replies
136 Views
Mimi nataka kujua tu namna ya kumuacha mume wangu. Iko hivi, nimeolewa, ndoa yangu ina miaka 12, lakini katika kipinipidi chote hicho sijawahi kufurahia maisha ya ndoa, kila siku mimi nniwakulia...
7 Reactions
56 Replies
1K Views
Alimtafutia kazi huyu binti wa dada yake. Baada ya miezi mitano tokea kuanza kazi, binti akapata mwamba, akaanza tabia ya kutoroka saa 10 jioni kumpelekea Mwamba Utelezi. Boss ndipo kushtuka...
0 Reactions
13 Replies
714 Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi...
15 Reactions
208 Replies
3K Views
Wakuu nimeliweka moyoni na jaribu kulificha ila ngoja tushee labla mawazo chanya yatapatikana. Inshort natarajia kuoa japo ndoa yenyewe inapingwa kama katiba mpya na CCM na mpingaji ni mama yangu...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Hakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi. Just...
19 Reactions
193 Replies
29K Views
Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha...
55 Reactions
109 Replies
3K Views
Kuelekea 2025 . Kauli mbiu ni "Protect your Energy" (Linda nguvu yako). Katika maisha kuna mambo mengi Sana ambayo huleta destruction , disappointment and heart fainted. Katika mahusiano...
22 Reactions
22 Replies
875 Views
Jamani rafiki yangu wa kike aliniita nikampe company na hii naingia wiki pili ila ana rafiki mwingine ambae akija ananisema kwa mafumbo sana eti nimekaa sana sitoi chochote ata Hela ya chakula...
35 Reactions
346 Replies
4K Views
  • Redirect
Wanyarwanda wana kasumba moja bila kuzaa na mnyarwanda mwezie hususani watusi haoni kama kajitendea haki. Sasa wewe jidanganye kwamba uko kwenye deep love na mnyarwanda, it will end into tears...
19 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Mara kadhaa humu JF huwa naona comment za wadau wakisifia wanawake wa kitusi Nawaambia ukweli ndugu zanguni wale sio wife material, sijaishi Rwanda waka burundi ila hao wanawake wamejaa kuanzia...
56 Reactions
373 Replies
15K Views
Hiki ni kisa cha kijana mmoja mbishi kilitokea miaka ya 2008, Kijana alitokewa na bahati ya kupata shangazi mpaka baadhi ya vijana wengine walifikiri kwanini zari halikuwaangukia wao ...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno...
80 Reactions
647 Replies
64K Views
wakuu kwema natumain mko salama kabisa Ninachangamoto kubwa hapa imetokea naombeni ushauri . Nilikuw na mahusiano na binti mmoja ivi alitokea kunielewa ana miaka 18 basi tukajikuta tupo kwenye...
6 Reactions
36 Replies
621 Views
Back
Top Bottom