Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu. Mimi bado nakuwa...
13 Reactions
43 Replies
3K Views
WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni...
29 Reactions
214 Replies
5K Views
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi...
78 Reactions
802 Replies
18K Views
Je, unakubaliana na huyu mzee?
5 Reactions
11 Replies
597 Views
Tarehe 22 Mei 2018 taarifa ilitoka kwenye vyombo vya habari kuwa mwanamke anayeitwa Berlina Wallace, mwenye miaka 49 amekutwa na hatia ya kumjeruhi mpenzi wake wa zamani Mark van Dongen umri miaka...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Iko hivi.. Wakati niko na mahusiano na huyu bibie,nilijua alikua na mahusiano mengine na wanaume kama wawili hivi. So baada ya muda me nikaamua kupita hivi na Mia then tukabaki kama washkaji...
6 Reactions
25 Replies
818 Views
Wakuu hapa nimevurugwa.. ni hivi wote tulikuwa hatufahamu yaani hatufahamiani.. Nimeanza kujuana na huyu binti kitambo japo alikuwa ananikataa kumbe alikuwa yupo na binamu yangu. Binamu yangu...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Vijana wengi tunaogopa kuingia kwenye ishu za ndoa rasmi Ila tunda tunapata adi Basi. Sababu gharama za harusiNni changamoto mno. Je, wewe uliye ingia katika ndoa kwa kufanya harusi Ni Jambo...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 maisha yalikuwa yakienda vizuri kwa dada aliyejulikana kama Ani Hindocha, mwenye asili ya India ambaye alizaliwa na kulelewa nchini Sweden. Akiwa amemaliza shahada ya...
14 Reactions
27 Replies
2K Views
JF wasaalam 🙏 🙏 Duniani Kuna mengi yakustaajabisha na mengine mengi ya kufurahisha! Katika kuzunguka huko kule nikanasa Kwa single mother mmoja mwenye heshima zake na chanzo Cha yeye kuwa single...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Nilizaliwa Simanjiro. Baba alifariki nikiwa bado mdogo (mwaka 2003), na bahati mbaya mama naye alifariki mwaka 2005. Sina ndugu yoyote wa kuzaliwa tumbo moja, labda ingekuwa afadhali. Mama...
7 Reactions
39 Replies
1K Views
Usiku huu wakati narejea magetoni, mwenzangu amecharuka na hataki kuelewa lolote, anadai nimetoka kukutana na mwanamke mwingine. Sababu ni harufu ya Poda ambayo imebaki mwilini mwangu, kweli...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Kama kuna kitu hujajifunza basi kitu pekee ukichukue ni uongozi. Muongoze mwanamke tangu unamsalimia ‘mambo’ hadi mkiwa kitandani. Na kama unaendelea naye na mahusiano, endelea kumuongoza hadi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake...
0 Reactions
4 Replies
273 Views
Wakuu kuna makabila yana mambo ya ajabu sana hasa hasa ya kanda ya ziwa hususuani wale weupe ti wanaopatikana kanda ya ziwa wale akina macho ya makengeza yaani kwao mtoto wa kike ni source of...
2 Reactions
4 Replies
442 Views
Habari wakuu. Hiki kisa nimekikuta huko katika pita pita zangu mitandaoni. HILI LINAITWA SHAMBULIO LA MOYO Huyu ni mke wangu kabisa, nimefunga naye ndoa mwaka huu mwezi wa pili ila kufika mwezi...
11 Reactions
78 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…