Habari.
Uliwezaje kuishi na mwanamke anayenuna kila wakati,
Mwenye kinyongo,
Mwenye kupenda pendant ugomvi bila sababu.
Hali inayopelekea kulazimishana mapenzi.
Mwenzenu mimi ni mtu mzima kidogo maana kwenye 40 napeleza mitatu, kwenye mechi sina shida tangu nianze kuyajua mambo miaka ya 2001 nipo la tano huko.
Hizi tatu bila kwa mechi za ugenini ni masaa...
A man can love you and not marry you.
A man can have $ex with you for years without marrying you.
But immediately he finds someone who brings stability in his life, he marries her.
Men are...
Habari za jioni wana jukwaa...
Ni kawaida kwa vijana wa kiume kusaka na kutafuta wapenzi huku na kule, lakini hali huwa tofauti pale ambapo dada zao wanapo kuwa na wapenzi.
Wanaume hukasirika na...
Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na...
Bila ya wewe uyo mwanamke hatokufa, acha kujipa stress ili upate sifa za kijinga, eti responsible boyfriend, unapigwa mwanangu.
Kama bajeti hairuhusu kumpa hicho anachokitaka lala salama kabisa...
Kama ilivyo destur ya jamii nyingi duniani ktk kuoana mwanaume kiumri inatakiwa amzidi mwanamke lkn hii sheria mm binafsi cjui imeandikwa katiba ipi wala kitabu gani ila wengi wao wanazingatia...
Habari kwenu,
Dunia inavyozidi kwenda watu wanaona kama bikira haina thamani, wengine wanawashambulia walio nazo kwamba ni washamba.Mimi ninavyo amini ubikira wa mwanamke huashiria uthamani...
Shalom,
90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia...
"Money Penny buana, nadhani nimepata true love,
Sikuwahi ku experience kitu cha namna hii,
Juzi kwa mara ya kwanza nilikuwa kifuani kwa mpenzi wangu, tumelala after sex
Nilipokuwa kifuani kwa...
Hii sio sawa.
Wanawake wengi wana upungufu wa nguvu za kike, wengi K zao hazina afya tena kama inavyobidi kuwa. Zamani mwanamke ukimshika kiuno tu au upaja huyo anaanza kuona aibu na anabana...
Mwalimu ni mimi na AI from ChatGPT.
Binadamu kufanya jambo fulani ni msukumo kutoka kwenye mwili wake au akili yake.
Milango mitano ya fahamu
pua
macho
masikio
ngozi
ulimi
Milango hii ikiguswa...
Habarini za jioni waumini
Mtaani kuna wale jamaa wanakopesha bidhaa hasa kwa wanawake au wake za watu, hawatumii nguvu kudai na wakiambiwa hela hakuna wanaelewa.
Niliona mmoja akiombwa kusamehe...
Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka.
Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji...
Rehema Paulo (26) Mkazi wa kata ya Katente iliyopo wilaya ya Bukombe mkoani Geita amejeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu za kichwani na kukatwa viganja huku chanzo kikitajwa kuwa...
Katika jamii ya kisasa, dhana ya ndoa imebadilika kwa kiasi kikubwa ikilinganishwa na zamani. Watu wengi sasa wanajiuliza kama ndoa bado ina umuhimu kama ilivyokuwa hapo awali. Katika makala hii...
Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.