Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Heshima mbele wakuu. Nina ndg yangu (Mdogo) wangu alioa kitambo sana, na toka aoe sijapata nafasi ya kuonana na shemeji. coz yeye anaishi hapa Dar na mimi ninaishi mkoani. na wana mtoto na mara...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
kuna mwanamke nimempenda ni frsh from college amekuja juzi juzi tu ofc sasa ktk harakati mwanaume nikatupa ndoano,nikaambiwa nichague jambo moja kati ya haya Kuumizwa au Kudanganywa,alf kuna tetes...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
nimeikuta somewhere nikakopy kama ilivyo Wanaume ni walewale...Uongo wao ni Uleule..Style zao ni zilezile...Wanawake ni walewale...Wanaamini uongo uleule...Wanaingizwa kingi kwa mbinu...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama ‘breast ironing,’ ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao ANGALIA VIDEO YA WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
JAMANI SIJUI PEPO AU TAMAA AMA UPENDO,mwenzenu nilimuhaidi mwanamke mmoja kuwa ntamuoa tukiwa kidato cha tatu nae tukahitimu ,akan sarit kwakuwa nilikuwa sikutulia eti alikuwa akini vumilia tu...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
umemtolea mahari mpenzi wako,..mnaishi mikoa tofauti kwa bahati nzuri/mbaya. Then unasikia na kuhakikisha alitoa MIMBA isiyo yakoko... Kiumeni UNGEFANYAJE.?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF wote natumaini wote mnaendelea vizuri. Kwa wanaoumwa nawatakia mpone haraka. Wanaosafiri pia nawatakia safari njema. Leo ninaona hebu tuujadili huu uzi. Nimekuwa nikisikia watu...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Jamani nimefanya uchunguzi humu jukwaani, ukitaka ujue watu waoga fungua thread inayozungumzia maambukizi ya hiv kwa njia ngono! inaonekana wengi wao wapo kwenye tuko wangapi na hawajui afya...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
wakuu,, nimekutana na hii habari mtandaoni ... Mama ajifungua CHURA...Yadaiwa kuwa mbegu za uzazi wa chura alizipata akioga katika bwawa lenye vyura - MPEKUZI bado sijaamini kabisa kama hiki kitu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Salaam wakuu, as emotional as i can be, am writing this thread to en light others that 'umzaniae ndiye kumbe siye'. Kwa kifupi ni hivi, I Lucchese had a good friend of I since o level ambaye...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
CC:- Madame B, Mamndenyi, Kungwi, Paloma, watu8, Mtambuzi, Kaizer, Erickb52, Kipaji Halisi, AshaDii, gfsonwin, LiverpoolFC, MadameX, Lady doctor, lara 1, ladyfurahia. Ujumbe huu unaletwa kwenu kwa...
19 Reactions
99 Replies
16K Views
Sijui ni kisomo au utandawazi siku hizi watu tumekuwa wavivu sana wa kazi za mikono. Mtu anaona bora atoe hela afanyiwe kazi ndogo kama kupiga rangi viatu kuliko kufanya mwenyewe. Mimi...
0 Reactions
2 Replies
878 Views
Wakuu. Hapa tulikuwa tunapata hadithi mbalimbali kutoka kwa mjeda na wenzake. Mbona siku hizi kimya. Where is mjeda? Where is mzizi mkavu? Na wale wengine mko wapi? Yale masimulizi ya tanga kule...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Kwa kweli vijana tupo hatarini kuna jama yangu ana pharmacy ya dawa za binadamu mitaa ya mwenge lakini cha kusikitisha kama siyo faida kwake ni kuwa biashara kubwa inayotoka ni dawa za kuongeza...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Ilikuwa kati kati ya wiki nilipata msiba wa ndugu yangu mmoja 'bahati nzuri' alikuwa amefariki nje ya Dar na kuzikwa huko huko so kikubwa kilikuwa ni kwenda nyumbani kwake na kutoa pole na...
18 Reactions
154 Replies
12K Views
Wakuu nipo kwenye hiace ya naenda mikanjuni -tanga,nipo na wazee wa makamo wanasema eti baba akiwa mkali kwenye familia hata watoto wanakuwa waangalifu sana kwenye mambo yao yote hata ya kielimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU natumaini mu wazima wa afya tele.! kama mada inavyojieleza system hii imepamba moto sana hasa kwa wachumba wengi au wapenzi wengi hasa hasa wanaume wamekua wakiwapachika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kweli mwanaume mateso!! Baba na Mama mnafanya kazi sehemu tofauti ila muda wa kutoka unafanana, Baba akitoka kazini mara nyingi hukutana na marafiki zake kwenye vikao flani flani au dili zake...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Baadhi yake ni kama ifuatavyo + Mwanamke ni kama ardhi kila mmoja anaweza kukaa (Zaire) + Wanawake walioolewa ni kama pembe za tembo usiwaguse (Ethiopia) + Mke ni ua katika bustani Mume ni...
2 Reactions
20 Replies
18K Views
Kumekuwa na propaganda za kuhalalisha mapenzi ya pesa kama heading inavyojieleza,ukweli ni kuwa tangu enzi na enzi pesa haijawahi kuwa msingi wa mapenzi na wala haitakuja kuwa.Msingi wa mapenzi ni...
0 Reactions
92 Replies
10K Views
Back
Top Bottom