Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Am talking especially age, kwa mwanamke range ni miaka mingapi mpaka mingapi likewise to men, ingawa mtu anaweza oa au olewa at any age bt ki kawaida ni miaka mingapi?
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama...
2 Reactions
154 Replies
57K Views
ni mda mrefu nimekuwa naangalia porn (xxx). Hivi nitapata matatizo gani kama nikiendelea?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz! Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Fupi tamu, ndefu inakera inaukweli gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaomba msaada wenu, je nina wezaje kumtambua mwanamke aliye keketwa? Na je mwanamke aliye keketwa anaweza kufurahia tendo la ndoa? Mwenye uzoefu na hili naomba anisaidie tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
17K Views
Umelala na mumeo ndani usiku kama saa saba mlango unagogwa kwenda kufungua unamkuta mama mkwe anakuambia anamuhitaji mwanae mwanae anaenda kuongea na mama yake anakuja kukuanga. Mume:mke...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wana Jukwaa, Kadiri siku zinavyokwenda nakuwa dhaifu. Nimejitahidi sana kuepuka mahusiano mpaka pale nitakapooa. Kipindi kifupi kilichopita nimekuwa na wakati mgumu sana pale ninaposikia sauti...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Kuna majambo yanayowasibu wanaume wengi katika pitapita zao na kung'angania nyumba ndogo wanajikuta wanapata watoto nje ya ndoa ni njia ipi ya kistaarabu ya kumtambulisha mtoto wako wa nje kwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimekuwa nikipita online nikaona hii habari. wadau imekaaje hii. click on the link, plz tumieni lugha ya staha brazil-government-grants-gay-man-maternity-leave
0 Reactions
24 Replies
4K Views
sipendi kuwa mchoyo wa elimu kwa hiyo acha niwapashe khabari kidogo..........lakini huyu bibi kule Kenya anapenda vijana wadogo wadogo wa kiume wampige mtama wa uhakika na huwalipa vizuri sana...
10 Reactions
109 Replies
12K Views
Dating cougars Zipo sababu 10 za kwa nini vijana wengi wanatumbukia kwenye mahaba feki na cougars............zikiwemo:- 1) Uvivu wa kujipatia kipato kwa jasho lao wenyewe..... 2) Kupenda dezo na...
14 Reactions
115 Replies
9K Views
''Ujumbe Muhimu kwa akina Dada zangu hii Thread'' Mara nyingi Wanawake huwa Wanapenda au kutaka kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na kila kitu kiende sawia kabisa bila matatizo, hii ni kutokana...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Picha hii haihusiani na habari hii......... Nilipelekwa hospitlini na wale wanakijiji. Dada na wanae hawakujali kabisa. Kale kabinti kake ka mwisho yaani Msekwa, kalilia sana kalipoona...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Kuna Jamaa ana mpenzi wake, wanakaa tofauti lakini wapo karibu sana. Jamaa anafunguo za nyumba ya mpenzi wake kwa hiyo asipomkuta hufungua na kukaa akimsubiria halikadharika na demu hivyohivyo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
0 Reactions
1 Replies
895 Views
To be honest kwa wale mnaohudhuria sherehe nying za arusi ni mashahid wa hili...mtiririko wa matukio umekua unafanana tofaut ipo kwa wahusika tu!!binafsi nakereka sana...kuona vijana wadogo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana MMU habari, Nina kaka yangu alioa miaka sita iliyopita, mke aliyemuoa alikuwa na mtoto tayari, walikuwa wanafanya kazi pamoja, walipendana na wakaoana, mwanamke aliamua kumuacha mwanaume...
2 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…