Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Heshima kwenu brothers and sisters nilikuwa nachek thread ya smile ya mwanamke kwenda kwa mume na kila kitu haipendezi. Nikakumbuka na kisanga nilichokutana nacho kwenye harusi ya xul mates...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Ni maneno yaliyoko kwenye mahusiano kila siku na kwa tafsiri hayana tofauti, sasa mjadala uko hapa......Kuna rafiki yangu anasema akiwa kwenye mahusiano na mpenzi wake akawa anamwambia "I love...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Yani huwezi amini nina bro wangu yani nanii yake ikiwa haijasimama inakuwa kama ya mtoto wa miaka 7but akienda mnara bonge la dude na anaona aibu hata kuvua nguo mbele ya masela zake na hata mbele...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo na jamaa zangu hapa, nimeshangazwa sana na kitu hiki sijawahi kusikia maishani mwangu mpaka sasa miaka yangu 24 hii. Jamaa wanasema eti kunyoa kiduku/kuweka wave kwenye ma***zi na kuzinga...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wanajamii Wenzangu.!! Tangu kubalehe kwangu mpaka sasa najiunga na chuo kikuu sijawahi kuwa na demu wa aina yeyote ile.!! Nikiwa shule huwa napenda kupiga msuli na nikiwa home huwa napenda...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanini lalkini?? Ustaarabu wa matumizi ya toilet kwa watz na hata waafrika wengine ni "0" Je ni tamaduni zetu mbovu au? Ukiacha public toilets ambazo huwa nI chafu karibu mara zote ukiacha...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Me i wish my future husband awe mrefu,mweupe,hard worker na mwenye kupenda family yang n u?wat z ur wishezs 2ur future husband or wife???
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Hivi umewahi kujiuliza kwamba kwa nini tunaoa na kuolewa?Kama umeoa,kitu gani kilikupa msukumo huo?Kama umeolewa,kwa nini?Umeolewa au kuoa kwa sababu ya mazoea au unapaswa kufanya hivyo?Au ni kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilikua 'saturday before the last', Niliwaalika rafiki zangu watatu (with spouses if they liked) waje home tuangalie EPL pamoja. Nikawahi kutoka job nikawa nimelala kidogo. Bahati mbaya/nzuri...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
WanaJF, Mi ni kijana wa miaka 27, naishi Dar na nimeajiriwa. Ni Mkristo na natokea Kanda ya Ziwa. Natafuta Rafiki wa Kike (Girl Friend) aliye na umri wa kati ya miaka 18 - 24. Kwa yule ambaye...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Kwa kipindi cha miaka kumi hivi sasa tumeshuhudia mahusiano ya kimapenzi kati ya wasanii wa tasnia tofauti wakipeana uroda. Lakini ukipitia kumbukumbu utagundua kuwa wanaume wa bongo flavours ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sifa za Mume mwema: Wapendwa wana JF wenzangu leo nimeona tuongelee sifa za mume mwema; nitasimulia/fafanua kama inavyoongelewa ki Biblia. Nimeona niweke hizi sifa hapa sio tu kwa wanandoa...
7 Reactions
111 Replies
21K Views
Thomas Hamilton Nyumba aliyokuwa akiishi Thomas hamilton watoto walioshambuliwa na baadhi yao kuuawa Ilikuwa ni majira ya saa 3:00 asubuhi siku ya Jumatano ya Machi 13, 1996, Thomas...
7 Reactions
22 Replies
6K Views
Kwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Yeye yupo morogoro,mimi nipo bagamoyo nilimtembelea mwezi wa saba mwanzoni,nilikaa kwake siku kumi na mbili,baadaye nikarudi bagamoyo,ilipofika tarehe 20 mwezi wa nane alipiga simu na kunijulisha...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari wana JF! Katika maisha yetu ya leo vijana tumekuwa tukishauriwa sana kuachana na MAPENZI kwani madhara yake yamekuwa makubwa sana( i mean the time will come for love)...Mfano Halisi kuna...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!
0 Reactions
33 Replies
3K Views
When I look down at myself I don't see anything special': Jonah Falcon, 13.5 inches, on living with the world's biggest penis Average flaccid penis length is 3-4 inches; Jonah's is 8 inches Has...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…