Wadau nimewahi kusikia kua kuna simu sijui ya kampuni gani ambayo inauwezo wa kusave sms hata kama umezifuta inbox au sent sms.Naomba anayefahamu anitajie ni simu ya kampuni gani na code number...
Kuna nyimbo moja nilikuwa nasikiliza
i guess ya NEYO....nikakutana na mstari mmoja unasema..
'i am gonna love you till you love yourself'...
Nikawa najiuliza maswali kibao.....
je tabia za watu...
Leo Nakuja na nyingine Baada ya Baadhi yenu kunishambulia Mnoooo kwenye "Akina Dada na Lift"
Inasadikika kuwa Akina Mama wengi sana Mara wapatapo Vazi jipya au hata kiatu kipya, kikamkaa Bara...
"Shall I wasting in despair"
Shall I wasting in despair
Die because a woman's fair?
Or make pale my cheeks with care
'Cause another's rosy are?
Be she fairer than the day,
Or the flow'ry meads...
Habari hii imetokea mara mbili kimakosa.
Mnaweza kuchangia katika Thead nyingine ambayo ndio iliyokamilika. Nimeweka link hapo chini.
Naomba radhi kwa usumbufu...
The multi-million matrimonial divorce case between a Tanzanian tycoon and his Kenyan ex-wife has finally come to an end after parties recorded a settlement. Mr Mohamed Bakhresa and his estranged...
Wakuu,cna ugomvi wowote na my gal,ila cha kushangaza amenitumia hyo txt,nikambana na maswali machache,akanambia ana mambo yake ambayo asingependa kuniambia yanamsumbua sana kichwa chake and she...
Kiingilio:bure.
Mahali:Nyumbani kwangu UK-DAR
Vinywaji:Non alcohol
Msosi:Nyama choma kwa sana na ugali dona/mtama/muhogo.
Tar/muda:itapangwa baadae kidogo.
Dhumuni(ndege3 kwa jiwe1)Ufunguzi...
An Important Lesson! by Boflo
One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do. Finally, he decided the...
Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu
A making of changing gear kwenye magari!!
Aisee dont kno but. . just today when i was on the road. . changing gear. . the touch of that thing i felt like i should hold it gently and something...
Naombeni msaada wenu kuhusu wanawake wa kimbulu nasikia wana tabia kupeana wenyewe kwa wenyewe hawatulia je ukwl hapo kwa 7 kama uzuri wamejali kwa kweli tatizo tabia sijui kama ni kweli?
Wakuu
Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini...
Haya ni maongezi(kimaandishi/chat) kati ya mtu na nduguye (anavyodai mwanaume). Mwanaume ameoa hata miezi mitatu haijapita ila binti ye hajaolewa. Kama mke wa mhusika naona walakini ila naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.