Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Haka ni kalasti boni kangu ka kike... basi huwa kila nikijifungia chumbani na wife kanakuja kanagonga mlango kwa nguvu huku kana shout moom..mooom r u okay. ? Hehehe hapo nakua sina ujanja mzee...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hili ni neno la kiswahili lakini sijui hasa linalenga kitu gani.Nilizaliwa nikalikuta linatumika nasikia watu wanasema,"aaah jamaa amepata bahati ya kupata mke mwenye tabia njema" au unasikia...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Husika na hiyo heading, hilo ni swali kaniuliza rafiki yangu (mdada) nimpe ushauri na mtazamo wangu kuhusu hilo suala.... Anasema kwua yeye akijisikia kutoka out huwa anawatafuta washkaji zake...
1 Reactions
104 Replies
9K Views
SIKU chache baada ya staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel kuripotiwa kufunga ndoa mjini Dubai, mchumba wa staa huyo aliyetambulika kwa jina moja tu la Jeff amesema kuwa, anashangazwa na Aunt...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Walcott admits he was surprised at the reception the players received in the Far East, but is eager to experience it once more this summer. “There was a young lady who we saw at every training...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kama ulishazoea kutembeq na mikitu mitamu mitamu utaweza kweli kummvumilia mwenzi wako wa maishani.....yaani baba nanii na mama nanii wajao...utaweza nakuuliza wewe ambaye unampendaga yule...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Morning JF, today let passed to the tips which explain how marriage last long. Below here are the tipsnecessary for a long lasting marriage. Note: Not listed in priority. Continue to build...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nilifahamiana na huyu kaka miaka kumi na mbili iliyopita, alisha propose mara tatu na zote sikukubali,na pia nimemfanyia vituko vingi sana ili akae mbali na mimi, miezi kama mitatu imepita siku...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Umeolewa,una kazi nzuri,mme ni mfanyibiashara,mambo yake yamechanganya,nice house,gari,watoto shule za bei mbaya etc , lakini kila kukicha unahisi ana mahawara.The fact kwamba mmeo ni mhangaikaji...
12 Reactions
128 Replies
9K Views
As a third of young women admit regrets about the way they lost their virginity... Having sex too young ruined our love lives. The boasts came thick and fast as teenager Kristen Dugdale and her...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Julius Dawson "ELINAJA" (23) mkazi wa Tabata, Segera, asili yao Marangu, Kilimanjaro, ni kijana ambaye aliandika mashairi ya nyimbo za "Bongo Fleva" kwenye mtihani wake wa kumaliza kidato cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa Jinsi Ninavyofahamu Nimegundua Kwamba Watu Hupata Wachumba Na Kuwekeana Nia Ya Dhati Kuwa Wataoana Katika Kila Stage Ndani Ya Maisha Ya Shule Mfano Std 1-7, Frm1-4,5-6 U'versity/college Etc...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni kama "Unga" ukimbwia, utabwia tena.......................... Watafiti na wataalamu wengi wa masuala ya uhusiano wanakiri sasa kwamba, mwanaume akishatoka nje mara moja kwenye uhusiano wake...
11 Reactions
71 Replies
7K Views
Wakati mapenzi yamehamishiwa kwenye makaratasi yanayoitwa cheti cha ndoa, inafika wakati mapezi yanaisha linabakia karatasi sasa kama unategemea karatasi lirudishe mapenzi mioyo yenu unafikiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila siku watu wanalia na maumivu ya mapenzi. Lakini najaribu kuyalinganisha na maumivu mengine, maumivu mengine yote unaweza gusa kiungo na kusema hapa panauma. nashindwa elewa, maumivu ya...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Nimeshuhudia mara nyingi sana kwa ndugu ana marafiki zangu wanapoamua kuoa,vile ambavyo tabia halisi ya mwanamke inakuwa imefichwa anapretend kuwa ni mnyenykevu sana,mwenye upendo ila akishaolewa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye: 1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
...ni wakati gani? katika mapenzi ulipo thubutu na kujiaminisha 99.9% 'nanihii...' wako... er..I mean - (incl. ex-wife/husband, current spouse, widow, etc) alistahiki "HASWA" kuoana na wewe...
9 Reactions
90 Replies
7K Views
Back
Top Bottom