Mwenzangu kaninunia kia nimecheza chini ya kiwango. Nimebakiwa na viulizo kibao bila majibu kucheza gemu chini ya kiwango ndo anaweza awe na gubu hivi?
Sisi tunatumia gari moja namshusha ofisini kwake na jioni nampitia tunarudi.. sasa asubui toka tunaamka mpaka tuaondoka yeye ni kutoa maagizo tu..... sasa kali zaidi wakati ndo tunatoka ndani...
Ni asubuhi hii. Umbea nao hauniachi!
Ni hivi! Jamaa yangu kaja hapa anatweta ka vespa ama tukutuku vile!
Ananisimulia yalomkuta over weekend! Yeye na mkewe walikuwa wamealikwa kwenye harusi nje ya...
Wanajamvi naombeni ushauri wenu,uyu dada niliwah kumchumbia,nikamsomesha toka form four mpaka mwaka jana kamaliza degree yake ya education pale SAUT,akantosa miezi sita kabla hajamaliza chuo kwa...
A Bulawayo (Malawi) man will rue the day he kissed a married woman in her house. The womans husband walked in on them as they locked lips. Apart from being thrashed the mans head was shoved...
Huyu lazima si mzima wa akili, yaani warembo na sabuni zote zilizopo mjini bado anaenda kumrukia mbuzi, walaah ukistaajabu ya Musa basi ya firauni ndio haya.
Habari zenu wana JF. Jamani siku hizi kuna wanaume ambao hawana hata busara kabisa. Utakuta mvulana uliyekuwa na uhusiano nae kipindi cha nyuma anaendelea kukufuatafuata kwa kutuma message za...
Mtu humpendi hata chembe, on top of that keshakuzengua..unamtamkia mara kibao..jamani tuachane lakini yeye analilia kila siku..kibaya zaidi anatishia kujidhuru..nini hii??? Ugonjwa..utumwa?????
Jaman mwenzen mimi niko Dom sasa nimepata mke hukoo Hukoooo Uziguani
sasa leo shangazi mtu anakuja kupanga mahali,
sasa sisi upande wetu hatujui nini kinahitajika maana familia yangu hakuna...
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote.
"Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.
je umeewahi hata siku moja kuomba ama...
Heshima mbele wakuu. Nipo kwenye lindi la mawazo kwani nimetokea kumpenda mdada mmoja ambaye tunaishi mtaa mmoja. Na nika amua kumueleza hisia zangu kwake akanijibu kwamba tayari nimechelewa...
Nikitizama nyuma naona michirizi ya damu, mioyo iliyoumizwa, nami ni mmoja wa wahanga. Nitakuwa muongo nikisema sijaumiza wengine na mimi. Nimekuwa na wanawake kadhaa, leo niwashukuru kwa...
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo...
Wadada wa JF habari zenu, naomba kuelimishwa hapa. Unakutana na msichana unajenga nae mahusiano na baadaye unamtongoza kwa ustaarabu na ujuzi wa hali ya juu. Anakupiga chini unabembeleza wee wapi...
Habari zenu wana-jf wababa,wamama,wakaka,wadada, rika langu na wengineo pia
Hili ni suala la ukweli hivyo basi uliyesoma hii thread naomba unipe mawazo yako ili nifanye maamuzi ya mbolea na yenye...
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni...
. . . . Ilikua ni leo wakati nimerudi mapema baada ya kwenda kijiweni na kukuta leo hakuna kibarua cha kuponda kokoto,tajiri alikua hajapata tenda.Nikaja mpaka home na kujilaza kwa machungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.